Mimi Ni mkenya na saizi nipo Kenya kabisa,,,kusema Kweli Hawa wanawake wa Kwetu Ni pasua kichwa,,,Yaani Ni madikteta hatarii afu hawapendi kuendeshwa...Tena kwa kupiga mizinga hawajambo
Ndo maana binafsi huwa natamani Sana siku moja Mungu anijalie mwanamke wa Kitanzania nioe maana hao Ni wastaarabu Sana.
Kuna muda huwa nawaza kufungua Uzi niweke CV yangu Kisha humo niombe CONNECTIONS za mwanamke wa Kitanzania ila Naogopa sijui wanajf watanichukuliaje labda[emoji848]
Kabisa sipendi wanawake wa CV kwetu Kenya,Ni wabaya ajabu.