Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliiroga pisi ya central kenya? 😀😀mimi ni mtz.
miaka kadhaa iliyopita niliwahi kuishi nairobi kikazi. nikaingia ktk mahusiano ya kimapenzi na demu mkikuyu wa kutokea kule kirinyaga. she was so cute.
mwanzo wa mahusiano yetu mapenzi yalikuwa hot sana.
rafiki zangu wa kutokea mombasani wakawa wananipa warning kuhusu wanawake wa central kenya, nikaziba masikio. nikahisi wananionea wivu.
siku zilivyosonga mbele nikaanza kuona rangi yake halisi. tabia yake ikabadilika and she became so arrogant. tukipishana kidogo kauli ananitolea vitisho ati ooh wewe hujui sisi mademu wa kenya, ipo siku utanijua mimi ni nani and blablabla.
kimoyomoyo nikasema huyu hajui mimi ni mtz, nilipopata likizo nikaja home tz. halafu nakaenda ushagoo kwetu "kusalimia bibi na babu".
niliporudi nairobi alikuwa kama kondoo,jeuri yote kwisha. mpaka leo huwa ananikumbuka shenz zake.