Wanawake wa Kenya wengi wao sio Romantic. They mostly talk, behave like men

😃 hiyo ushagoo.
 
fungua tu uzi kaka usijisikie tofauti
 
Ushagoo ni wapi mkuu.
 
nilichomfanya kule ushagoo kwa bibi na babu ni siri yangu.

huwa ananipigia simu siku moja moja....ananimbia "wee mtz sijui ulinifanyanga nini, siwezi kukusahu".
Me nipo Nairobi sahivi, kiukweli wanawake wa huku ukiwa Mtanzania utawapata sana lakini tabia zao tu ndio zinawashinda wengi. Me nimetulia na mluhya wangu hana mambo mengi.
 
Me nipo Nairobi sahivi, kiukweli wanawake wa huku ukiwa Mtanzania utawapata sana lakini tabia zao tu ndio zinawashinda wengi. Me nimetulia na mluhya wangu hana mambo mengi.
nawafahamu vizuri sana mademu wa kiluhya. kitabia wapo vizuri ila kuna wakati huwa wana react na kuwa wababe mbele waume zao.

wengi wao wana maumbile makubwa na wana nguvu sana za kimwili, usipokuwa imara anaweza akakupelesha kama mtoto.
 
"kusalimia bibi na babu".[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi nilikuaga nakubali sana kwenda kujipatia bibi kenya...ila nikapata rafiki akanionya na nikaanza ona matukio wanawake wakiwachoma visu wanaume...sina hamu tena.
 
nawafahamu vizuri sana mademu wa kiluhya. kitabia wapo vizuri ila kuna wakati huwa wana react na kuwa wababe mbele waume zao.

wengi wao wana maumbile makubwa na wana nguvu sana za kimwili, usipokuwa imara anaweza akakupelesha kama mtoto.
Kweli kbsa mkuu,Mimi mwenyewe Ni mluhya pure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…