Wanawake wa Kichaga wapewe maua yao!

Mh. Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
Nakusalimu Bro,
kusifiwa kumekuwa kudogo, kupondwa ndiyo kumekuwa kwingi, kiruuu..!!πŸ™Œ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nipo fresh.
Zamani hata hizp sifa kidogo hazikuwepo, ni hatua nzuri

Mjitahidi jikoni sasa
Tulialikwa na dada mmoja kwake tukale lunch(pilau mbuzi), kufika dining dada mtu tukasikia analia "..kiruuu yesu wangu, kekuu ndio umepika nini hii.."

Kekuu katoa pilau kama makande, kachumbari kama amekata na msumeno. Kekuu alitisha sanaπŸ˜‚
 
Muogope sana mwanamke anayeweza kulea familia bila msaada wa mwanaume, watoto wanaenda shule na anajenga nyumba. Kule Kilimanjaro nilishangaa kuona wanawake wanafanya mpaka biashara ya machinga unamkuta kavaa shati na suruali za kiume.
Akikutanguliza anapungukiwa nini?
 
Lowassa naye amebahatisha.
Warangi hawachelewi kukuweka zezeta Kila kitu uwe "ebhana ndiooo".
Warangi sio poa kabbissa.
 
Ila Binadamu hamueleweki mara muwaseme Dada zetu siku nyingine muwasifie.
Kiufupi hamueleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…