Wanawake wa Kichaga wapewe maua yao!

Wanawake wa Kichaga wapewe maua yao!

1. Kwa misiba ya Karibuni ya watu maarufu hapa nchini (Mafuru na Ndugulile) nimegundua wajane wote ni toka Uchagani.

2. Hawa viumbe wananusa fursa na kujulia namna ya kukuza kipaji cha mume mpaka ngazi za juu. Tofauti na wanaume wa Uchagani wanaoshobokea Wadangaji wanakuja kuharibu familia na Mali za marehemu (RIP Dr Machache).

Orodha ya watu maarufu waliooa Uchagani
1. Mafuru (RIP)
2. Dr. Ndugulile (RIP)

3. Mhe. Dr Lameck Madelu Nchemba - BA Economics (Hons.) First Class, MA Economics, PhD.
4. Mhe. January Makamba (MP),
5. Prof Kitila Mkumbo (PhD),
6. Jumaa Awesso (MP),
7. Majizzo,
8. Rich Mitindo,
9. Prof Mukandala (PhD),
10. Nabii Mkuu Mwingira.
11. Dr Salmin,
12. Prof Lipumba (PhD).
Mh. Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi
 
😂😂
Nakusalimu Bro,
kusifiwa kumekuwa kudogo, kupondwa ndiyo kumekuwa kwingi, kiruuu..!!🙌
😂😂😂
Nipo fresh.
Zamani hata hizp sifa kidogo hazikuwepo, ni hatua nzuri

Mjitahidi jikoni sasa
Tulialikwa na dada mmoja kwake tukale lunch(pilau mbuzi), kufika dining dada mtu tukasikia analia "..kiruuu yesu wangu, kekuu ndio umepika nini hii.."

Kekuu katoa pilau kama makande, kachumbari kama amekata na msumeno. Kekuu alitisha sana😂
 
Muogope sana mwanamke anayeweza kulea familia bila msaada wa mwanaume, watoto wanaenda shule na anajenga nyumba. Kule Kilimanjaro nilishangaa kuona wanawake wanafanya mpaka biashara ya machinga unamkuta kavaa shati na suruali za kiume.
Akikutanguliza anapungukiwa nini?
 
I think Lowasa was the luckiest man kupata mke bora among politicians in Tanzania. Yule Mama wa Kirangi aisee ni mtu na nusu.
Sasa mtu kama Majizo nae unahesabu Ana mke ?

Vijana wamuige Lowasa kama kioo cha familia bora

Hao wengine uliotaja hapo ni wamekula umeme na wengine among the list wanaishi kimatumaini zaidi
Lowassa naye amebahatisha.
Warangi hawachelewi kukuweka zezeta Kila kitu uwe "ebhana ndiooo".
Warangi sio poa kabbissa.
 
1. Kwa misiba ya Karibuni ya watu maarufu hapa nchini (Mafuru na Ndugulile) nimegundua wajane wote ni toka Uchagani.

2. Hawa viumbe wananusa fursa na kujulia namna ya kukuza kipaji cha mume mpaka ngazi za juu. Tofauti na wanaume wa Uchagani wanaoshobokea Wadangaji wanakuja kuharibu familia na Mali za marehemu (RIP Dr Machache).

Orodha ya watu maarufu waliooa Uchagani
1. Mafuru (RIP)
2. Dr. Ndugulile (RIP)

3. Mhe. Dr Lameck Madelu Nchemba - BA Economics (Hons.) First Class, MA Economics, PhD.
4. Mhe. January Makamba (MP),
5. Prof Kitila Mkumbo (PhD),
6. Jumaa Awesso (MP),
7. Majizzo,
8. Rich Mitindo,
9. Prof Mukandala (PhD),
10. Nabii Mkuu Mwingira.
11. Dr Salmin,
12. Prof Lipumba (PhD).
Ila Binadamu hamueleweki mara muwaseme Dada zetu siku nyingine muwasifie.
Kiufupi hamueleweki
 
Back
Top Bottom