Wanawake wa Kichaga wapewe maua yao!

13. Andrew chenge mzee wa vijisent
 
Kwanini makabila mengine nadra Sana kuolewa?
 
Mmesahau na mzee Paul Bomani
Lakini hii imekaaje lazima kuna sababu
Sababu ni hii baada ya ukoloni makabila mengine walikuwa hawasomeshi watoto wakike walikuwa wanaona mtoto wa kike ni ajili ya kuolewa wapate ngombe
Sasa mikoa ya kaskazini hasa wachaga watoto wakike walikuwa wamesoma
sasa ilipokuwa wazee wetu hawa baadhi waliosomea Makerere walivyokuwa wanataka kuoa hawakua na jinsi ilibidi waende uchagani.
Yule jamaa yetu ambaye alikuwaga raisi wetu kipindi hicho alikuwa muandishi wa habari sasa kulikuwa na disco shule ya Jangwani akaenda ndio akakutana na mtoto mbichi kwa sasa ni mama yetu mpendwa fisrt laday wa zamani.Sasa ulitegemea mheshimiwa am
we mchunga ng'ombe unasemaje vile? mafukara? wachaga
hiv unajua mkoloni alikuwa anampango wa kutoa uhuru kwa wachaga maana ndio aliona wako progressive na walikuwa na wimbo wao wa taifa nyie mlikuwa mnalalia ngozi ya ngombe na kulogana
 
Sababu kubwa ni kwamba wachaga ni waaminifu.

Kama usipomkorofisha hata mkae mbali mbali mwaka mzima sio rahisi kuliwa nje kama baadhi ya wakina dada wa makabila mengine
Labda huyo anayekuja kwa mkeo asiwe na pesa, wadada wa kaskazini ni dau lako tu. Mbele ya pesa/mali hakuna mwanamke wa huko anaweza akawa na misimamo.
 
Hao mademu ni wazuri, basi tu wna usenge usenge il ndo hivo kama ni mlenda totoz wazuri kwa wachaga hutoboi
 
Nenda mahakamani pia ujue ndoa zinazovunjika ni zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…