Wanawake wa Kichaga wapewe maua yao!

Vizuri kwa kuweka sawa kuhusu hapo kwa Chenge, Pia kuna yule alikuwa mbunge

wa Kigoma anaitwa Nsanzugwako nae kaona Mchaga anafanya kazi NMB

Ndugulile yeye alikuwa ni Mnyamwezi wa Tabora.

Hao Wakerere na Wajita huwa wanashida gani ?
 
Wazazi wangu wanamiliki hostel binafsi karibu na mabibo hostel wanaishi wanafunzi wa udsm

Huwa naisimamia hiyo hostel na huwa wanaishi mabinti 72 wa udsm kila semester

Ukweli mchungu kila mwaka asilimia 80 ya wateja wetu ni mabinti wa kichaga. Mpaka nawaza kwamba wachaga peke yao ndio wanasomesha mabinti udsm ama shida nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…