Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Ana mke unafikiri kila mtu lazima aambatane na mke ovyo. Alisema mwenyeweLipumba kaoa lini???
Hii ilinipita.
Mke wake ni Mchagga wa Rombo, kutokea ukoo wa kina Mtenga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana mke unafikiri kila mtu lazima aambatane na mke ovyo. Alisema mwenyeweLipumba kaoa lini???
Hii ilinipita.
Hahaha kumbe muhehe wewe ndo maana hesabu zinakupiga chengaWanakokula dog 😀😀
Pesa ni sabuni ya roho mkuu. No money,no loveNilikuwa nawakubali sana wachaga kwa ujasiri wao kiasi nilitamani hata nioe Mchaga.
Nimekuja kugundua kuhusu mahusiano ya kimapenzi kwao sio kipaumbelw zaidi ni
Pesa
Pesq
Pesa
Kama maisha yako yatakuwa centered na utafutaji basi komaa nao 100% ila kama utataka quality times 😂😂😂 bora uende pwani tuNilikuwa nawakubali sana wachaga kwa ujasiri wao kiasi nilitamani hata nioe Mchaga.
Nimekuja kugundua kuhusu mahusiano ya kimapenzi kwao sio kipaumbelw zaidi ni
Pesa
Pesq
Pesa
😀😀Mungu anipe mume anaejua hesabu angalau asaidie watoto tutadhalilika 😀😀Hahaha kumbe muhehe wewe ndo maana hesabu zinakupiga chenga
Hahaha mwenyezi Mungu ajibu sala zako dadaangu 🤗😀😀Mungu anipe mume anaejua hesabu angalau asaidie watoto tutadhalilika 😀😀
Nahisi kama tulikuwa na mtazamo mmoja, mimi pia nilikuwa natamani hivyo, ikatokea nikawa na mahusiano na binti wa huko.Nilikuwa nawakubali sana wachaga kwa ujasiri wao kiasi nilitamani hata nioe Mchaga.
Nimekuja kugundua kuhusu mahusiano ya kimapenzi kwao sio kipaumbelw zaidi ni
Pesa
Pesq
Pesa
AmiinHahaha mwenyezi Mungu ajibu sala zako dadaangu 🤗
mkiwa bar mnawaponda wana nyonyo kubwa kalio dogo.
Hope urassa nilijitahidi nipite kimya lakini naona nimejibana sana nitakufwa Bure."Wana nyonyo kubwa kalio dogo"🤣🤣🤣🤣🤣🤣
DaaahUkiona hivyo jua watoto wananyonya na kushiba hakuna mtoto ananyonya kalio mkuu🤣
Anafanya UNAna mke unafikiri kila mtu lazima aambatane na mke ovyo. Alisema mwenyewe
Mke wake ni Mchagga wa Rombo, kutokea ukoo wa kina Mtenga
Mlima Kilimanjaro - Akili Pota🎓🎓🎓 - Labda tutaanza kutembelea KWAO tumevionya.. Watoto wao fursa ni Utanzania una cha kushindana hapoooo hadi utengeneze tukio la kurushwa ITV/TBCOkay
Nakumbuka hii habari ya BenIla moto waliupata.
Kuna mmoja hapo aliwahi kupigwa na stuli ya ugoko hadi goti likateguka...😂
Kuna huyo mwingine anae fuata aliuona moto hadi akaamua kuama na kuisusia nyumba akaenda kuishi kwa mpango wa kando..😜