Wanawake wa Kigoma eneo dogo la Ujiji ni balaa, Tanga haioni ndani...

Pamoja na michanganyiko yote hiyo ya makabila, mabingwa ni wanawake wa Kimanyema, Tanga ni cha mtoto!. Yale majumbo yote ya Kariakoo ndio wanamiliki wao, walikuja, wakawakuta wenye nyumba na familia zao, wakatoa huduma, walioolewa wakaachwa na wakaolewa wao, wakahakikisha mirathi imeandikwa, just a coincidence, wanaume hao baada ya kuandika mirathi, hufa na nyumba hubaki mali ya mwanamke!.
Duuu!!! nikajua majumba mengi Kariakoo ni ya wakinga
 
Pamoja na michanganyiko yote hiyo ya makabila, mabingwa ni wanawake wa Kimanyema, Tanga ni cha mtoto!. Yale majumbo yote ya Kariakoo ndio wanamiliki wao, walikuja, wakawakuta wenye nyumba na familia zao, wakatoa huduma, walioolewa wakaachwa na wakaolewa wao, wakahakikisha mirathi imeandikwa, just a coincidence, wanaume hao baada ya kuandika mirathi, hufa na nyumba hubaki mali ya mwanamke!.
MaTaGa kumbe uko makini na historia
 
Pamoja na michanganyiko yote hiyo ya makabila, mabingwa ni wanawake wa Kimanyema, Tanga ni cha mtoto!. Yale majumba karibu yote ya Kariakoo ndio wanamiliki wao, walikuja, wakawakuta wenye nyumba na familia zao, wakatoa huduma, walioolewa wakaachwa na wakaolewa wao, wakahakikisha mirathi imeandikwa, just a coincidence, wanaume hao baada ya kuandika mirathi, hufa na nyumba hubaki mali ya mwanamke!.
P

Kwa mtaji huu inaweza kuwa Daktari Mpango anachubiria chubiria?

Hii mirathi hii hatari sana.
 
Pamoja na michanganyiko yote hiyo ya makabila, mabingwa ni wanawake wa Kimanyema, Tanga ni cha mtoto!. Yale majumba karibu yote ya Kariakoo ndio wanamiliki wao, walikuja, wakawakuta wenye nyumba na familia zao, wakatoa huduma, walioolewa wakaachwa na wakaolewa wao, wakahakikisha mirathi imeandikwa, just a coincidence, wanaume hao baada ya kuandika mirathi, hufa na nyumba hubaki mali ya mwanamke!.
P
Duh!!!
 
Mwaveja sana! Asee mimi nilikuwa sijapata fika Kigoma maisha yangu nimedate watanga wengi tuu ila hawa balaa, kimaisha ujiji pamefanana na Bagamoyo wanaume ni wavivu hucheza bao na kahawa muda mwingi shughuli wanayoitegemea ni mawese huvuna na kuchuja baasi, na vijana ni wavuvi.

Les go to ma point, asee mademu wao ni wazuri mixture ya warundi, watusi na wabembe wa Kongo hiyo mishepu nisisahau Ujiji ina robo ya watu waarabu, hali ya maisha ni too easy kiasi ukifika Ujiji chumba kupanga ni 3000 na mabinti wa mwenye nyumba wana kufulia na kukupikia yaani! Ukimtongoza anamwambia mama yake fasta mamake ndio anakuja unachotakiwa umshawishi hadi kieleweke mama anageto afu asubuhi anakuja kwako kumchukua akiwa na mgebuka(samaki ) na kayoga (natural beer)

Kuhusu kitandani wameshindikana ilikuwa my first time to cry like a baby anaku..nya.. hadi nanino duuu halafu muda wote ka uniform wametabasamu, kwa wale wazinzi unaweza tongoza na mama wao kukutanbasamulia ni jadi sio kukupenda Dar sirudi n'go na mademu wangu siwataki, byebye.
Last seen yesterday! tafadhali tupe mrejesho!!! Huu uzi wako ni wa tangia mwaka 2011!!
 
View attachment 1762308
Umenasa kwa Mmanyema mkuu
 
Pamoja na michanganyiko yote hiyo ya makabila, mabingwa ni wanawake wa Kimanyema, Tanga ni cha mtoto!. Yale majumba karibu yote ya Kariakoo ndio wanamiliki wao, walikuja, wakawakuta wenye nyumba na familia zao, wakatoa huduma, walioolewa wakaachwa na wakaolewa wao, wakahakikisha mirathi imeandikwa, just a coincidence, wanaume hao baada ya kuandika mirathi, hufa na nyumba hubaki mali ya mwanamke!.
P
Uko sahihi mkuu, nilisimuliwa hili jambo na mzee mmoja niliyemkuta kijiweni pale mtaa wa Livingstone na Agrey alinisimulia hili jambo
 
𝐎𝐧𝐠𝐞𝐳𝐞𝐚 𝐩𝐢𝐚 𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐯𝐮𝐦𝐢𝐥𝐢𝐯𝐮,
𝐤𝐚𝐫𝐢𝐛𝐮𝐧𝐢 𝐤𝐢𝐠𝐨𝐦𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚 𝐉𝐟 𝐰𝐨𝐭𝐞, 𝐬𝐢𝐬𝐢 𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞𝐣𝐢 𝐭𝐮𝐧𝐚𝐰𝐚𝐤𝐚𝐫𝐢𝐛𝐢𝐬𝐡𝐞𝐧𝐢
 
Pamoja na michanganyiko yote hiyo ya makabila, mabingwa ni wanawake wa Kimanyema, Tanga ni cha mtoto!. Yale majumba karibu yote ya Kariakoo ndio wanamiliki wao, walikuja, wakawakuta wenye nyumba na familia zao, wakatoa huduma, walioolewa wakaachwa na wakaolewa wao, wakahakikisha mirathi imeandikwa, just a coincidence, wanaume hao baada ya kuandika mirathi, hufa na nyumba hubaki mali ya mwanamke!.
P

Wanawake wa kimanyema historia yao ni kubwa mno, walifika mjini kuleta biashara ya mashuka na mawese na sabuni zao almaarufu gwanji, hao ndio ambao ukimgusa kitandani huchomoki, wanawake hao walipofika mjini kama ulivoeleza wazee ndoa zao zilivunjika sana kama marehemu Boss wa mawingu angekuepo tungeuliza alipewa nini na mmanyema yule hadi akawa analia kama mtoto.
 
Naongezea wamanyema hawana mpinzani, singida na kondoa wana housing za kuvutia lakini ndio hulala kama magogo tu
Kiukweli kuna wanawake wengine unawaonea bure tuu, sio wao wala sio mambo ya rufundi, ni nature tuu imewagomea kama ulivyo utamu wa matunda, lila tunda ukimega ni tamu, ila huwezi kufananisha utamu wa nanasi na tiketi!. Usililaumu tikiti kwa kulinanga sio tamu kama nanasi, utamu huo wa tikiti ndio utamu wake, kama ilivyo kwa embe dodo na dafu, usilidharau dafu, embe tunda la msimu.
P
 
Back
Top Bottom