Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Duuu!!! nikajua majumba mengi Kariakoo ni ya wakingaPamoja na michanganyiko yote hiyo ya makabila, mabingwa ni wanawake wa Kimanyema, Tanga ni cha mtoto!. Yale majumbo yote ya Kariakoo ndio wanamiliki wao, walikuja, wakawakuta wenye nyumba na familia zao, wakatoa huduma, walioolewa wakaachwa na wakaolewa wao, wakahakikisha mirathi imeandikwa, just a coincidence, wanaume hao baada ya kuandika mirathi, hufa na nyumba hubaki mali ya mwanamke!.
MaTaGa kumbe uko makini na historiaPamoja na michanganyiko yote hiyo ya makabila, mabingwa ni wanawake wa Kimanyema, Tanga ni cha mtoto!. Yale majumbo yote ya Kariakoo ndio wanamiliki wao, walikuja, wakawakuta wenye nyumba na familia zao, wakatoa huduma, walioolewa wakaachwa na wakaolewa wao, wakahakikisha mirathi imeandikwa, just a coincidence, wanaume hao baada ya kuandika mirathi, hufa na nyumba hubaki mali ya mwanamke!.
Yes kwa sasa mengi ni ya Wakinga, ila waliuziwa na wanawake wa Kimanyema, wakavunja na kujenga maghorofaduuu!!! nikajua majumba mengi kariakoo ni ya wakinga
Pamoja na michanganyiko yote hiyo ya makabila, mabingwa ni wanawake wa Kimanyema, Tanga ni cha mtoto!. Yale majumba karibu yote ya Kariakoo ndio wanamiliki wao, walikuja, wakawakuta wenye nyumba na familia zao, wakatoa huduma, walioolewa wakaachwa na wakaolewa wao, wakahakikisha mirathi imeandikwa, just a coincidence, wanaume hao baada ya kuandika mirathi, hufa na nyumba hubaki mali ya mwanamke!.
P
Duh!!!Pamoja na michanganyiko yote hiyo ya makabila, mabingwa ni wanawake wa Kimanyema, Tanga ni cha mtoto!. Yale majumba karibu yote ya Kariakoo ndio wanamiliki wao, walikuja, wakawakuta wenye nyumba na familia zao, wakatoa huduma, walioolewa wakaachwa na wakaolewa wao, wakahakikisha mirathi imeandikwa, just a coincidence, wanaume hao baada ya kuandika mirathi, hufa na nyumba hubaki mali ya mwanamke!.
P
Last seen yesterday! tafadhali tupe mrejesho!!! Huu uzi wako ni wa tangia mwaka 2011!!Mwaveja sana! Asee mimi nilikuwa sijapata fika Kigoma maisha yangu nimedate watanga wengi tuu ila hawa balaa, kimaisha ujiji pamefanana na Bagamoyo wanaume ni wavivu hucheza bao na kahawa muda mwingi shughuli wanayoitegemea ni mawese huvuna na kuchuja baasi, na vijana ni wavuvi.
Les go to ma point, asee mademu wao ni wazuri mixture ya warundi, watusi na wabembe wa Kongo hiyo mishepu nisisahau Ujiji ina robo ya watu waarabu, hali ya maisha ni too easy kiasi ukifika Ujiji chumba kupanga ni 3000 na mabinti wa mwenye nyumba wana kufulia na kukupikia yaani! Ukimtongoza anamwambia mama yake fasta mamake ndio anakuja unachotakiwa umshawishi hadi kieleweke mama anageto afu asubuhi anakuja kwako kumchukua akiwa na mgebuka(samaki ) na kayoga (natural beer)
Kuhusu kitandani wameshindikana ilikuwa my first time to cry like a baby anaku..nya.. hadi nanino duuu halafu muda wote ka uniform wametabasamu, kwa wale wazinzi unaweza tongoza na mama wao kukutanbasamulia ni jadi sio kukupenda Dar sirudi n'go na mademu wangu siwataki, byebye.
Umenasa kwa Mmanyema mkuuMwaveja sana! Asee mimi nilikuwa sijapata fika Kigoma maisha yangu nimedate watanga wengi tuu ila hawa balaa, kimaisha ujiji pamefanana na Bagamoyo wanaume ni wavivu hucheza bao na kahawa muda mwingi shughuli wanayoitegemea ni mawese huvuna na kuchuja baasi, na vijana ni wavuvi.
Les go to ma point, asee mademu wao ni wazuri mixture ya warundi, watusi na wabembe wa Kongo hiyo mishepu nisisahau Ujiji ina robo ya watu waarabu, hali ya maisha ni too easy kiasi ukifika Ujiji chumba kupanga ni 3000 na mabinti wa mwenye nyumba wana kufulia na kukupikia yaani! Ukimtongoza anamwambia mama yake fasta mamake ndio anakuja unachotakiwa umshawishi hadi kieleweke mama anageto afu asubuhi anakuja kwako kumchukua akiwa na mgebuka(samaki ) na kayoga (natural beer)
Kuhusu kitandani wameshindikana ilikuwa my first time to cry like a baby anaku..nya.. hadi nanino duuu halafu muda wote ka uniform wametabasamu, kwa wale wazinzi unaweza tongoza na mama wao kukutanbasamulia ni jadi sio kukupenda Dar sirudi n'go na mademu wangu siwataki, byebye.
View attachment 1762308
Uko sahihi mkuu, nilisimuliwa hili jambo na mzee mmoja niliyemkuta kijiweni pale mtaa wa Livingstone na Agrey alinisimulia hili jamboPamoja na michanganyiko yote hiyo ya makabila, mabingwa ni wanawake wa Kimanyema, Tanga ni cha mtoto!. Yale majumba karibu yote ya Kariakoo ndio wanamiliki wao, walikuja, wakawakuta wenye nyumba na familia zao, wakatoa huduma, walioolewa wakaachwa na wakaolewa wao, wakahakikisha mirathi imeandikwa, just a coincidence, wanaume hao baada ya kuandika mirathi, hufa na nyumba hubaki mali ya mwanamke!.
P
Unataka na wewe ukalie kama mtoa mada!! ๐ฌ๐ฌ๐ฌLikizo ijayo, Kigoma aiseee
wakinga nao wapo vizuriYes kwa sasa mengi ni ya Wakinga, ila waliuziwa na wanawake wa Kimanyema, wakavunja na kujenga maghorofa
P
Pamoja na michanganyiko yote hiyo ya makabila, mabingwa ni wanawake wa Kimanyema, Tanga ni cha mtoto!. Yale majumba karibu yote ya Kariakoo ndio wanamiliki wao, walikuja, wakawakuta wenye nyumba na familia zao, wakatoa huduma, walioolewa wakaachwa na wakaolewa wao, wakahakikisha mirathi imeandikwa, just a coincidence, wanaume hao baada ya kuandika mirathi, hufa na nyumba hubaki mali ya mwanamke!.
P
Kiukweli kuna wanawake wengine unawaonea bure tuu, sio wao wala sio mambo ya rufundi, ni nature tuu imewagomea kama ulivyo utamu wa matunda, lila tunda ukimega ni tamu, ila huwezi kufananisha utamu wa nanasi na tiketi!. Usililaumu tikiti kwa kulinanga sio tamu kama nanasi, utamu huo wa tikiti ndio utamu wake, kama ilivyo kwa embe dodo na dafu, usilidharau dafu, embe tunda la msimu.Naongezea wamanyema hawana mpinzani, singida na kondoa wana housing za kuvutia lakini ndio hulala kama magogo tu
[emoji28][emoji28][emoji28]Nimeoa mchaga