HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,487
- 6,250
Jiraniiiii[emoji28][emoji28][emoji28]
Naomba nikusindikize Ujiji jirani yanguJiraniiiii
Tukienda wote nitakutelekeza. Sipendi iwe hivyoNaomba nikusindikize Ujiji jirani yangu
Nasikia wana balaa sana wamanyemaPamoja na michanganyiko yote hiyo ya makabila, mabingwa ni wanawake wa Kimanyema, Tanga ni cha mtoto!. Yale majumba karibu yote ya Kariakoo ndio wanamiliki wao, walikuja, wakawakuta wenye nyumba na familia zao, wakatoa huduma, walioolewa wakaachwa na wakaolewa wao, wakahakikisha mirathi imeandikwa, just a coincidence, wanaume hao baada ya kuandika mirathi, hufa na nyumba hubaki mali ya mwanamke!.
P
Hutakuwa na ubavu wa kunitelekeza jirani huoni mleta mada mwenyewe pamoja na yote aliyopewa na wanawake wa Ujiji lakini mwisho wa siku alioa mchaga.Tukienda wote nitakutelekeza. Sipendi iwe hivyo
[emoji3] jirani una balaa wewe. Usithubutu jirani labda wazee waje ndio nitaondoka ujijiHutakuwa na ubavu wa kunitelekeza jirani huoni mleta mada mwenyewe pamoja na yote aliyopewa na wanawake wa Ujiji lakini mwisho wa siku alioa mchaga.
Hakuna cha wazee wala nini mimi mwenyewe nitakurudisha nyumbani. Wee kubali tu nikusindikize jirani[emoji6][emoji3] jirani una balaa wewe. Usithubutu jirani labda wazee waje ndio nitaondoka ujiji