ni wakabila sana.ona icho alichoandika ukabila mtupu
labda unamaanisha ndugu zako wa mach........
wanawake wa kinyakyusa wanapenda sana kumtawala mwanaume,wanapenda kutawala familia na hawapendi ndugu wa mwanaume,wanaachia mzigo kirahisi ata kwa shemeji zao(rafiki zako),wakabila,wanajiskia(hii ni kwa wote me na ke)..uzuri wao sio wachoyo na wanajaua kuigiza heshima.hawa wanawezana wenyewe kuoana ukiingia humo utajuta
usipaniki mkuu hali halisi ndiyo hiyo kwani wewe hauyajui hayo?
sijapanic kiongozi wangu,....ila najaribu kukuongoza kuelekea kwenye ukweli
Ndio kwanza nasikia
wewe haujazaliwa mimi naishi mbeya, fanya utafiti kwanza hata kama itakuhusu wewe lakini ujue habari ndiyo hiyo.
Nimefuatilia thread hii mwanzo mwisho nimefurahi sana. Yaani humu almost kila siku yapo makabiila waanayotukanwa na kupakaziwa mengi at the same time kupewa live lakini hatuoni shida.... Leo hii wanyakyusa wamepewa live bila chenga tena bila kuonewa kina IGWE wanachachamaaaaaa.
Kubalini ukweli jameni mimi nimepanga fremu ya biashara kwa mnyakyusa kwa takriban miaka 10. Nina marafiki wengi tuu nk sijaona walipoonewa hawa watu. hatukatai exception lakini mengi haswa hawa wa kyela mmewalenga kweli kweli..... Kina baba wanapenda chini sijaona..... Kina mama wakigundua ni visasi hata na wazibua mitaro....
Wivu ndo usiseme akiona wateja dukani basi kodi zinapanda ndani ya mkataba.....mara niachie frenu yangu niuse mwenyewe....yaani this pipo usinikumbushe kabisa.
mkirua si umeonaee, sijui kwanini wanakataa ukweli, but kweli itasimama kama kweli milele.
Nimefuatilia thread hii mwanzo mwisho nimefurahi sana. Yaani humu almost kila siku yapo makabiila waanayotukanwa na kupakaziwa mengi at the same time kupewa live lakini hatuoni shida.... Leo hii wanyakyusa wamepewa live bila chenga tena bila kuonewa kina IGWE wanachachamaaaaaa.
Kubalini ukweli jameni mimi nimepanga fremu ya biashara kwa mnyakyusa kwa takriban miaka 10. Nina marafiki wengi tuu nk sijaona walipoonewa hawa watu. hatukatai exception lakini mengi haswa hawa wa kyela mmewalenga kweli kweli..... Kina baba wanapenda chini sijaona..... Kina mama wakigundua ni visasi hata na wazibua mitaro....
Wivu ndo usiseme akiona wateja dukani basi kodi zinapanda ndani ya mkataba.....mara niachie frenu yangu niuse mwenyewe....yaani this pipo usinikumbushe kabisa.
mkono sweta vp !? Ulikabiliana nao?
mhhh!!!!!
sjui km kweli bt wote niliowashuhudia kwa majiran na marafiki ni kwamba WANAUME WA KINYAKYUSA WANAPENDA SANA UDUMELISM..yaan kushurutisha tu ..anataka aexercisse udumelism ata kwa mtoto wa miaka 2... ukifanya kitu kdg tu anajihisi UMEMDHARAU,,,yaan full mashtukio
wazuri sana..
nimezaa nao'hawajui kukataa'kila mwanaume wanamwita shemeji'wanazukwa na guest kibao za bei rahisi'ni wachapa kazi