Wanawake wa Kinyakyusa

Wanawake wa Kinyakyusa

Status
Not open for further replies.
wanawake wa kinyakyusa wanapenda sana kumtawala mwanaume,wanapenda kutawala familia na hawapendi ndugu wa mwanaume,wanaachia mzigo kirahisi ata kwa shemeji zao(rafiki zako),wakabila,wanajiskia(hii ni kwa wote me na ke)..uzuri wao sio wachoyo na wanajaua kuigiza heshima.hawa wanawezana wenyewe kuoana ukiingia humo utajuta

matumbo na utumbo wake!
 
sijapanic kiongozi wangu,....ila najaribu kukuongoza kuelekea kwenye ukweli

wewe haujazaliwa mimi naishi mbeya, fanya utafiti kwanza hata kama itakuhusu wewe lakini ujue habari ndiyo hiyo.
 
hapana haiwezekani,yaani mimi na uzee wangu wa 53yrs uniambie hivyo_sio kweli kabisaa mkuu,....nayajua yote ndio maana nakukanusha kiongozi wangu
 
Nimefuatilia thread hii mwanzo mwisho nimefurahi sana. Yaani humu almost kila siku yapo makabiila waanayotukanwa na kupakaziwa mengi at the same time kupewa live lakini hatuoni shida.... Leo hii wanyakyusa wamepewa live bila chenga tena bila kuonewa kina IGWE wanachachamaaaaaa.

Kubalini ukweli jameni mimi nimepanga fremu ya biashara kwa mnyakyusa kwa takriban miaka 10. Nina marafiki wengi tuu nk sijaona walipoonewa hawa watu. hatukatai exception lakini mengi haswa hawa wa kyela mmewalenga kweli kweli..... Kina baba wanapenda chini sijaona..... Kina mama wakigundua ni visasi hata na wazibua mitaro....

Wivu ndo usiseme akiona wateja dukani basi kodi zinapanda ndani ya mkataba.....mara niachie frenu yangu niuse mwenyewe....yaani this pipo usinikumbushe kabisa.
 
sio kuchachamaa mkuu,na suala la kupenda chini nafikiri ni tabia ya mtu binafsi na kamwe kabila la mtu halihusiki kwenye hili...wivu mm ndio sijakuelewa kabisaa unamaanisha nini kiongozi wangu...sula la kupanga frem kwa mnyakyusa ni mapatano yenu_kwa hiyo terms and condition apply
 
Mkirua si umeonaee, sijui kwanini wanakataa ukweli, but kweli itasimama kama kweli milele.
 
Nimefuatilia thread hii mwanzo mwisho nimefurahi sana. Yaani humu almost kila siku yapo makabiila waanayotukanwa na kupakaziwa mengi at the same time kupewa live lakini hatuoni shida.... Leo hii wanyakyusa wamepewa live bila chenga tena bila kuonewa kina IGWE wanachachamaaaaaa.

Kubalini ukweli jameni mimi nimepanga fremu ya biashara kwa mnyakyusa kwa takriban miaka 10. Nina marafiki wengi tuu nk sijaona walipoonewa hawa watu. hatukatai exception lakini mengi haswa hawa wa kyela mmewalenga kweli kweli..... Kina baba wanapenda chini sijaona..... Kina mama wakigundua ni visasi hata na wazibua mitaro....

Wivu ndo usiseme akiona wateja dukani basi kodi zinapanda ndani ya mkataba.....mara niachie frenu yangu niuse mwenyewe....yaani this pipo usinikumbushe kabisa.

Justify plz,

Tabia ya mtu huwezi kuipeleka kwenye Kabila. Haiko sawa!, huenda yana maana ila sio lazima yawe ya kweli na kufanywa na Kila mtu.
 
mhhh!!!!!
sjui km kweli bt wote niliowashuhudia kwa majiran na marafiki ni kwamba WANAUME WA KINYAKYUSA WANAPENDA SANA UDUMELISM..yaan kushurutisha tu ..anataka aexercisse udumelism ata kwa mtoto wa miaka 2... ukifanya kitu kdg tu anajihisi UMEMDHARAU,,,yaan full mashtukio

Basi Olewa na Mchagga matani wako, akushee na babake.
 
nimezaa nao'hawajui kukataa'kila mwanaume wanamwita shemeji'wanazukwa na guest kibao za bei rahisi'ni wachapa kazi

Hujakose kabisa mkuu. Hawajui kabisa kukataa. Sio wote wako hivi ila % kubwa wako hivi, hasa hasa wale waliokulia Mbeya. Kila mwanaume aliyesoma nae haoni mbaya kumpa!! Naongelea uzoefu hapa!! Chunga sana akikutambulisha kwa 'rafiki' au shemeji!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom