Wanawake wa Kinyakyusa

Wanawake wa Kinyakyusa

Status
Not open for further replies.
Igwe ukishusha pumzi nitakupa ya mwisho, kwa sasa naona nitazidi kukusumbua.

sawa sawa mkuu,..muda mwingine ni hekima kuacha kushambulia na hasa ukiona unayemshambulia anahema kwa hasira_umetu,ia hekima sana mkuu
 
wakuu nimefuatilia mjadala! hizi mada za makabila kwasasa hazina mashiko! mimi wazazi wa baba yangu (baba yake ni mnyamwezi mama yake ni mnyakyusa) wazazi wa mama yangu( baba yake ni msukuma na mama yake ni mnyarwanda) sas kwamchanganyiko huu bado mnajadili makabila wakuu! hiyo ilikuwa zamani!
 
endeleeni kuchambana ila mie sijaona ubaya wa wanyakyusa as a trible
 
washari km wanawake wa kihaya...THOU I HATE GENERALIZATION BT MAJORITY NDO WAPO IVO..sjui kwa vile wana maumbo makubwa...nishawai kupanga nyumba moja na wahaya then wanyakyusa wana swaga flan ivi za kibfu bifu wanapenda kuwa kiongoi/msemaji mkuu/director ata km akil yake inamfaa awe mfagizi au mlinda geti...WENGI WAO WASHARI..then si wachoyo wa ile MAMBO....AFU WANAPENDA MAFAGIO ao acha tu

m ready 4battle.
Rose pole kwa yaliyokusibu
ila shukuru hukulogwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom