Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
To be honest...
Wanawake wa Kipare nadhani wanafaa kuolewa na Wapare wenzao...
Sababu ya kusema hivyo ni vile my cuzn bro na baba mkubwa wameoa huko...
Huwa nawaona ni watu wenye ubinafsi sana na huwa hawapendi ndugu wa mwanaume...
Imefika mahali huyu mke wa baba mkubwa hataki kabisa kusikia mumewe kaenda kijijini kuwatembelea wazzi wake(bibi na babu yetu)...
Tabia kama hizo pia zaoneshwa na shemeji yetu...ni mengi ya kuyaandika lakini binafsi bado naamini Wapare waolewe na wapare wenzao labda wanawezana...

Akili za kuambiwa changanya na zako.....hata hao wapare wako wa usangi na same, na kila kundi linaa tabia zake, ni vyema mnapowachambua mzingatie hilo pia. Kwa ufupi wapare wa same ninao wajua hasa same mashariki hawana shida na mtu, si wachoyo, ni wacha Mungu walio wengi. Madhaifu yapo kama kama kawaida ilivyo kwa wanadamu...ila hakuna kitu special hasa kwenye ubaya wao ambacho kwingine hakipo
ig....o libaha.......
m'bora nawe ufuma hiyoo?hao ena theja kadori kana?
Vana Vakundana Shigha Vaghuhane, shigheni mikede jenu aha
Akili za kuambiwa changanya na zako.....hata hao wapare wako wa usangi na same, na kila kundi linaa tabia zake, ni vyema mnapowachambua mzingatie hilo pia. Kwa ufupi wapare wa same ninao wajua hasa same mashariki hawana shida na mtu, si wachoyo, ni wacha Mungu walio wengi. Madhaifu yapo kama kama kawaida ilivyo kwa wanadamu...ila hakuna kitu special hasa kwenye ubaya wao ambacho kwingine hakipo
Jiandae kufunga kiuno motor .......................................!:ballchain:
Hodi hodi wanabodi kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jamvi nikiomba maoni yunu kuhusu tabia za wanawake wa kipare na taratibu zao ukitaka kumwoa taratibu za mahari zinakuwaje? Nawasilisha!

Mrembo by Nature ava vantu vetuteta uvivi kangi tevena shima neri. Hanini vetudharau huo. Mira wanitwaa nguma ambu ii mburi nami naraikicha aha. Kangi vaire iti nivakundie varumburya vangu na sienda vekigaywa uviviHahaha hela rumburya iki ava vayao vaamua kutukkaesia kikao na kuete vintu vyavo vyesiho kabisa, kana uu mwiyao Eli79 hena kantu amanje kuhusu ii mburi yegawa aha