wanawake wa kipare


Mkuu we mpare wa wapi
 
Vipare vina matatizo sana, kwanza vina ubahiri wa kipuuzi na ni vibinafsi. Me baba yangu mdogo kaoa mpare na shangazi yangu kaolewa na mpare nimejionea matatizo yao si unajua mkioleana familia zinavyokuwa ndugu. Alafu vimechafua mbegu yetu kwa ku-introduce ufupi wao kwetu. Ukiangalia vitoto vya baba yangu mdg utaona dhairi ufupi ulivyoingia in our clan, yaani sijui ukoo wetu unaelekea wapi. Kubwa zaidi vibinti vya bb mdg vishaanza ukicheche wa kipare. Kweli chachu moja uchachua chakula chote.
Wacha wapare waoane wenyewe kwa wenyewe.
 
Alafu wanaendana sana na wajita wa Musoma kuanzia ubinafsi, uchoyo, majungu nk na ndo wote utawakuta kanisani cku ya jumamosi. Chunguzeni thn mtaniambia
 
Ha ha mbona wajita hawana makuu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Niulizeni mimi kuhusu wanawake wa Kipare, nina uzoefu nao wa kutosha
 
Tiririka mkuu...
Sijapata kumuona demu wa Kipare asigongwa nje. Apart from that I had a chick ambaye ilikuwa bado one year tuoane but nilimfumania live na rafiki yangu. Kwa mfupi hao wadada wanafundwa tokea wakiwa wadogo kuwa na moja zaidi ya mmoja sijui logic ni nini. Ila kwa mautamu si mchezo, wanajua kula mashine utadhani ni vibogoyo, halafu pia hawana hiyana mpaka mtandao wa bei nafuu wanakupa.!
 
Duh!!! hatareee

 
Mchumba wangu ni mpare wa muda mrefu sijaona tabia zozote mbaya kama zinazotajwa hapa mfano wanapenda sana kugongwa nje, xtreme ubahili, chuki kwa upande wa mume etc. More elaboration please:yell::nod:

Huyo ni mchumba si mke.... oa kwanxa afu ndio uje kutudhibitishia usemayo.
 

He he ila kuhusu 0713 ukiwa na mshiko waweza gonga dema yeyote ktk Dunia hii sio km ww unavyotaka kutuamisha hapa.
 
He he ila kuhusu 0713 ukiwa na mshiko waweza gonga dema yeyote ktk Dunia hii sio km ww unavyotaka kutuamisha hapa.
Angalau umeona vitu vingi nilivyoongea ni vya ukweli, sasa kumalizia zaidi ni kwamba wao hata usipokuwa na mshiko unawagonga 0713, tena huyo aliyekuwa wa kwangu nilikuwa namla hiyo kitu bure kabisaa..!
 
Mkuu we mpare wa wapi
Nilitaka niulize hilo swali.Mie mwenyewe nimpare na nimeish nawapare hizo tabia zote sijaziona,Nnachojua wapare tunavibuli na dharau na hatupend kuonyesha matatizo tuliyonayo.

1.Mnavyosema mafundisho yao wanafundishwa kuwa na mtu zaid ya mmoja ni wapare wa wap hao?ni sehemu gan uparen bado wanawafundisha watu masuala ya Jando na unyago?

2. Hizo tabia zote mbaya mlizozitaja kuusu wapare ntajien kabila ambalo halina hizo tabia.

3.Mnavyosema majority wapo hivyo mnajua idad sahihi ya wadada wakipare?

4.Mapungufu yapo ila inategemeana na baadh ya koo ila koo nyingi zakipare hazina matatizo
Karibuni Same Gonja kuna wanawake wazur sana na wenye tabia nzuri

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Umekuwa na uhusiano na wangapi? manake kama ni mmoja sidhani kama una uzoefu wa kuwasema wote kiasi hicho. Mimi natoka huko, i know them....all i can say, they are good in bed, in fact they are among the best and i thought that's exactly what men wanted, hiyo ya kabaang nakuachia wewe!
 

Mkuu, kila kabila lina mapungufu yake!
* Wanataka kutuambia kuwa wanawake wanaotoka nje ya ndoa na kugongwa ovyo wote ni dada zetu?
* Wanaoachia mtandao rahisi wote ni wapare?
* Wasengenyaji, wafupi, dharau na kiburi wote wapare!
Kama hawawataki tutawaoa sisi wenyewe.....teh! teh! Lorisy asiione hii thread, damn!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…