wanawake wa kipare

wanawake wa kipare

To be honest...
Wanawake wa Kipare nadhani wanafaa kuolewa na Wapare wenzao...
Sababu ya kusema hivyo ni vile my cuzn bro na baba mkubwa wameoa huko...
Huwa nawaona ni watu wenye ubinafsi sana na huwa hawapendi ndugu wa mwanaume...
Imefika mahali huyu mke wa baba mkubwa hataki kabisa kusikia mumewe kaenda kijijini kuwatembelea wazzi wake(bibi na babu yetu)...
Tabia kama hizo pia zaoneshwa na shemeji yetu...ni mengi ya kuyaandika lakini binafsi bado naamini Wapare waolewe na wapare wenzao labda wanawezana...

Ee bwana eeh, ubinafsi ni tabia ya mtu siyo kabila lake. Stop hasty generalization mkuu!
 
Same applies to the chagaz
To be honest...
Wanawake wa Kipare nadhani wanafaa kuolewa na Wapare wenzao...
Sababu ya kusema hivyo ni vile my cuzn bro na baba mkubwa wameoa huko...
Huwa nawaona ni watu wenye ubinafsi sana na huwa hawapendi ndugu wa mwanaume...
Imefika mahali huyu mke wa baba mkubwa hataki kabisa kusikia mumewe kaenda kijijini kuwatembelea wazzi wake(bibi na babu yetu)...
Tabia kama hizo pia zaoneshwa na shemeji yetu...ni mengi ya kuyaandika lakini binafsi bado naamini Wapare waolewe na wapare wenzao labda wanawezana...
 
Kaka oa ni bonge lakabila na utapata maendeleo sana ila wanamisimamo yakimaisha jipange..Kwa msaada zaid muone Mh Benjamin mkapa,Kibonde na Kayanda watakupa sifa zaidi.Ila nnashemej yangu mpare nikaampa lazima nioe huko au uchagani.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
siku hizi tabiia nyingi hazijalishi kabila mpeni fomaliti za kutoa mahari mwenzenu mtamchelewesha wakati ndo aliopangiwa na Mungu
 
Mimi mke wangu ni mpare na tunaishi kwa ushuhuda! Mungu ametupa Neema. Msigeneralize kirahisi ninyi wasomi!
 
Naona watu wengi wanashindwa kunielewa...
Nimejaribu kutoa mifano hai ili huyu mleta mada apigie mistari baadhi ya tabia halafu azilinganishe na mkewe mtarajiwa....
Sijafanya generalization na ndio maana nikaweka mifano inayonihusu mimi na wala si mtu mwingine...

Ee bwana eeh, ubinafsi ni tabia ya mtu siyo kabila lake. Stop hasty generalization mkuu!
 
Nitakupa steps mpaka kufikia mahari

* KWanza binti (mchumba) wako ataenda kuwaambia wazazi wake kuwa amempata kijana na amempenda, angependa waoane. Kama ilivypo kawaida, wazazi watauliza maswali mengi na mengine yanaweza hata kumkatisha tamaa binti, hiyo ni kupima utayari wake, mambo kama kabila na mengine mengi.
* Baada ya hapo familia ya binti watahitaji kuonana na kufahamiana na upande wa kijana na hapo either watataka barua au mwakilishi toka kwa familia yako.Ukiamua kutuma barua, utahitajika kutuma mtu wa kuipeleka ukiweka kiasi kidogo cha fedha ndani ya hiyo barua..Ikiwa utahitajika kwenda, basi uwe na watu kama watano hivi, inawezekana baba na nduguzo wengine au close friends+wazazi(baba)
*Mkifika wewe utakaa nje na baada ya mda utaitwa, ukiingia binti(mchumba wako atakutambulisha) then mazungumzo yataendelea.
* Hatua ya kwanza ni kutoa kilo mbili za sukari na chai itapikwa right away na baada ya hapo utatoa shukrani kwa mama mtu, utampa mchumba nae ataongea maneno flani hivi ya kilugha afu atampa mamake, then yeye ataingia chumbani ili muongee kuhusu mahari
*Huwa mahari inayotolewa ni ng'ombe wanne, wawili wanaotembea na wawili in form of cash. Unaweza kunegotiate kama unaona wanakuminya..teh!
* Kingine utatakiwa kutoa asante kwa mama mtu, kwa kumtunza binti hadi kufikia umri wa kuolewa bila kukutana na mwanaume, yaani unatoa asante ya ubikra wa yule mchumba..... hii haijalishi kwamba ni bikra au sio! Kama alishazaa, hiyo asante huitopi.
* Mkishatoa mahari, sasa nyie mmekuwa wachumba rasmi na mambo ya mipango ya harusi inaanza

N.B Hutakiwi kutoa mahari yote kwa mkupuo, hiyo huonyesha dharau, niliwahi kuwafanyia kaka zangu na hayo ndo nnayojua.
 
Ukioa mwanamke wa kipare hamna shida thou ni wahuni.....wanaume wa kipare ndo wenye shida coz akioa alafu akiwa na maendeleo ukoo mzima unahamia kwake
 
k ukweli na ninao wafahamu mim wengi wanapenda chini .they like different mshebebe.
 
Yani kuna some comments that honestly zinaweza kukufanya ujiulize hivi hizi research zilifanywa na nani kwasababu watu wanaongea as if wako so sure o perfect.
Ati wahuni,.ulikua referee kwa hiyo match ukashika the legs?
Ukioa,unaoa mtu ama the whole clan?
Mwingine anasema watu wanahamia kwa mtu na pesa,seriously?as if we dont know most Africans regardless ni wapi wanafanya hivyo..(socialism)..na wahindi jee tukiwageneralize?
Kuna vitu muogopeni Mungu aki.
Mwingine anaongea in general ati kamuona mke wa kaka yake yuko hivyo au mume basi anaongea as if ni malaika kashushwa with golden ladders from heaven.

Back to the topic:
kwa jinsi nimeona,ni same process kama kwingine.
Tuma mshenga and the rest inafuata.
 
Back
Top Bottom