Wanawake wa Kisabato ndio wanaoiishi Injili

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Kama mmeamua kuifata injili ifatwe inavyotaka, kuipinga injili ni uovu

1 Timotheo 2 :9
Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani.

Nenda makanisa mengine ukute aatu walivyotengeneza nywele
 
Wewe hcho kifungu umekielewa kwamba wasisuke nywele mkuu?!
 
Naam nakuabaliana na hili,
WANA MISIMAMO MIZURI JUU YA IMANI YAO NA AFYA KIASI KWAMBA HAWAYUMBISHWI NA MITUME NA MANABII FEKI FEKI.
 
Kama mmeamua kuifata injili ifatwe inavyotaka, kuipinga injili ni uovu

1 Timotheo 2 :9
Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani.

Nenda makanisa mengine ukute aatu walivyotengeneza nywele
Hapo kwenye mavazi ya kujistiri utaambiwa Mungu anaangalia moyo
 
Msichana asiye na mume wakisabato chini ya miaka 28 njoo inbox tuombe pamoja, nami ni SDA pia
 
Kama mmeamua kuifata injili ifatwe inavyotaka, kuipinga injili ni uovu

1 Timotheo 2 :9
Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani.

Nenda makanisa mengine ukute aatu walivyotengeneza nywele
1 petro3:3-5 kujipamba kwenu,kusiwe kujipamba kwa nje yaani kusuka nywele na kujitia dhahabu na kuvalia mavazi, bali kuwe utu wa moyoni usioonekana katika mapambo yaliyoharibika yaani roho ya upole,na utulivu iliyo na thamani kuu mbele za Mungu maana hivyo ndivyo walivyojipamba wanawake watakatifu wa zamani waliomtumaini Mungu nakuwatii waume zao.

Ukisoma vizuri utagundua kuwa kujipamba kwa mwanamke hakujakatazwa bali kujipamba kwa nje kufanane na usafi wa utu wa ndani ndio kitu Mungu anataka sio tuu kujilemba kwa nje ikiwa ndani una uchafu mwingi ni bure kabisa. Usafi wa utu wa ndani ni bora zaidi ya mavazi na sura au urembo ndivyo alichomaanisha Mwanamke au mwanaume lazima tujitahidi kuwa safi nje na ndani pia
 
Umaskini wako ndio unaokusumbua. Kama huna hela ya kusukia mitindo ya kupendeza usijifiche kwenye usabato!
 
Kama mmeamua kuifata injili ifatwe inavyotaka, kuipinga injili ni uovu

1 Timotheo 2 :9
Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani.

Nenda makanisa mengine ukute aatu walivyotengeneza nywele
Yah umeona kutokusuka ndio kujistiri?
Sijui huyo mwandishi aliandika Aya zama gani Ila naamini hakumanisha kuwa kusuka(kosokota nywele) ni uhuni(dhambi).
 
1 petro3:3-5 kujipamba kwenu,kusiwe kujipamba kwa nje yaani kusuka nywele na kujitia dhahabu na kuvalia mavazi, bali kuwe utu wa moyoni usioonekana katika mapambo yaliyoharibika yaani roho ya upole,na utulivu iliyo na thamani kuu mbele za Mungu maana hivyo ndivyo walivyojipamba wanawake watakatifu wa zamani waliomtumaini Mungu nakuwatii waume zao.

Ukisoma vizuri utagundua kuwa kujipamba kwa mwanamke hakujakatazwa bali kujipamba kwa nje kufanane na usafi wa utu wa ndani ndio kitu Mungu anataka sio tuu kujilemba kwa nje ikiwa ndani una uchafu mwingi ni bure kabisa. Usafi wa utu wa ndani ni bora zaidi ya mavazi na sura au urembo ndivyo alichomaanisha Mwanamke au mwanaume lazima tujitahidi kuwa safi nje na ndani pia
Waliokuwa wana tafsiri Biblia kutoka Kiingereza kwenda Kiswahili, hawakuwa mahiri wa Kiswahili na hivyo wakati mwingine walikuwa wanatengeneza "TUNGO TATA" pasipo wao kuelewa
Mfano mwingine huu hapa:
Umtwike Bwana mzigo wako naye atakutegemeza, Hatamwacha mwenye haki aondoshwe milele. Zaburi 55:22
Hapa walitakiwa kuandika hivi:
Umtwike Bwana mzigo wako naye atakutegemeza, milele hatamwacha mwenye haki aondoshwe .Zaburi 55:22
sanalii
 
Back
Top Bottom