Wanawake wa Kiswahili (Kitanzania) kwanini mkiulizwa hili Swali Kuntu na Wanaume huwa mnalishangaa na kuona aibu kulijibu?

Me hamna hamna zisipungue goli nne au tano kidogo nitakuelewa πŸ˜‹
 
Ohoo nimepotea njia, nilishaapa kutosoma uzi wako wowote maana we unastahili kuwa Mirembe nashangaa kwanini bado uraiani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti ni mmayele ngapi??? Dah
 
Umetoka iyo kanda je kwa sasa unaishi jiji gani?
 

kwani mkuu bado hujaoa au huyo ni mchepuko unayetaka kumbandua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…