Wanawake wa Kiswahili (Kitanzania) kwanini mkiulizwa hili Swali Kuntu na Wanaume huwa mnalishangaa na kuona aibu kulijibu?

Me hamna hamna zisipungue goli nne au tano kidogo nitakuelewa 😋
 
Unamuuliza Mwanamke au Mpenzi wako kuwa unapoenda Kumbandua au anapokuja Kubanduliwa Kwako angependa 'Umuweke' Bao / Goli ngapi anakushangaa au anaanza kuona aibu.

Wengine akina GENTAMYCINE tumetoka si tu Kanda ya Ziwa bali pia tumetoka Kanda Maalum Mkoa wa Wanaume wa Shoka wa Mara ( Musoma ) hivyo tuna Nguvu za Ajabu ( za Kubandua na ndiyo maana Wanaume wa Mkoa wa Mara wanapendwa mno na Wanawake ) na tukiuliza huwa tunataka kujua uwezo wa 'Pulling' zenu Wanawake ili tusije tukawawekeni Bao / Goli 7 au 9 kisha tukimaliza unageuka kuwa Marehemu na kuwa Hatiani Kisheria na Jamhuri.

Kuna Mmoja ndiyo amenichanganya na mpaka sasa najiuliza Maswali mengi kwani nimemuuliza leo anataka 'Nimmayele' au 'Nimbaleke' vingapi ili aridhike Kanijibu zozote nitakazozitaka Mimi.

Kiukweli hili Jibu lake limenitisha hadi nawaza huyu Demu ni Binadamu Mwenzangu kweli labda kwakuwa Nilimtongoza Jana Usiku alikuwa ni Jini?

Hofu yangu naweza kuanza Kumbandua ( Kumuweka ) na Mwanaume nikajipinda niwezavyo hata kwa Bao / Goli 5 na Kuchoka na Yeye akasema Kwake hiyo ni Mechi ya Utangulizi na sasa anataka tuanze Mechi ya Ligi Kuu hatimaye nikajikuta Naumbuka au nikataka Kujitutumua hatimaye Mnasikia jina langu halitokuwa likiitwa GENTAMYCINE bali litakuwa linaitwa Rest In Eternal Peace GENTAMYCINE.

Eti Nibandue Bao / Goli uzitakazo.
Ohoo nimepotea njia, nilishaapa kutosoma uzi wako wowote maana we unastahili kuwa Mirembe nashangaa kwanini bado uraiani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti ni mmayele ngapi??? Dah
 
Unamuuliza Mwanamke au Mpenzi wako kuwa unapoenda Kumbandua au anapokuja Kubanduliwa Kwako angependa 'Umuweke' Bao / Goli ngapi anakushangaa au anaanza kuona aibu.

Wengine akina GENTAMYCINE tumetoka si tu Kanda ya Ziwa bali pia tumetoka Kanda Maalum Mkoa wa Wanaume wa Shoka wa Mara ( Musoma ) hivyo tuna Nguvu za Ajabu ( za Kubandua na ndiyo maana Wanaume wa Mkoa wa Mara wanapendwa mno na Wanawake ) na tukiuliza huwa tunataka kujua uwezo wa 'Pulling' zenu Wanawake ili tusije tukawawekeni Bao / Goli 7 au 9 kisha tukimaliza unageuka kuwa Marehemu na kuwa Hatiani Kisheria na Jamhuri.

Kuna Mmoja ndiyo amenichanganya na mpaka sasa najiuliza Maswali mengi kwani nimemuuliza leo anataka 'Nimmayele' au 'Nimbaleke' vingapi ili aridhike Kanijibu zozote nitakazozitaka Mimi.

Kiukweli hili Jibu lake limenitisha hadi nawaza huyu Demu ni Binadamu Mwenzangu kweli labda kwakuwa Nilimtongoza Jana Usiku alikuwa ni Jini?

Hofu yangu naweza kuanza Kumbandua ( Kumuweka ) na Mwanaume nikajipinda niwezavyo hata kwa Bao / Goli 5 na Kuchoka na Yeye akasema Kwake hiyo ni Mechi ya Utangulizi na sasa anataka tuanze Mechi ya Ligi Kuu hatimaye nikajikuta Naumbuka au nikataka Kujitutumua hatimaye Mnasikia jina langu halitokuwa likiitwa GENTAMYCINE bali litakuwa linaitwa Rest In Eternal Peace GENTAMYCINE.

Eti Nibandue Bao / Goli uzitakazo.

kwani mkuu bado hujaoa au huyo ni mchepuko unayetaka kumbandua?
 
Back
Top Bottom