Wanawake wa kitanzania, mnawafahamu wa Nigeria au mnawasikia tu?

Ila jux safii kavunja kibanda kajenga ghorofa yule mtoto wake mpya namkubali pale kachagua vzuri
 
Ni kweli kabisa mkuu nililala wa kutembelea nchi moja ya ulaya unapozungumuzia mambo ya biashara kwanza unaulizwa we ni mnajeria ukimwambia hafanyi tena biashara na wewe.

Anaweza akakusafirisha katika inchi ya mbali na kukulazimisha ubebe mzigo wa madawa sivyo unauwawa.
 
Ulishaga husia wadada zetu ni ukweli mtupu nami nawafahamu sana hawa jamaa kwao pesa ndo kila kitu na wanakuwa na wake zao huko kwao pesa wanazokusanya utuma kwao. Wazungu wengi ulaya wamelizwa sana na hii jamii Mpya ukimtongoza mzungu ye anajua umefata mali tu
 
Hao ndo wajanja Sasa....! Wanaijeria wanatuwakilisha vyema Africans hawacheki na kima big up kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…