Wanawake wa kitanzania, mnawafahamu wa Nigeria au mnawasikia tu?

Wanawake wa kitanzania, mnawafahamu wa Nigeria au mnawasikia tu?

Wanaijeria bhana!

Nilikuwa natizama kipindi kimoja wanawake wa kiafrika waliyopo ughaibuni wakihojiwa kuhusu suala la mahusiano na kuulizwa wanaume wa Taifa lipi kutoka Afrika huto' date naye.

Asilimia 90 wakasema Wanaijeria! Ajabu hata wanawake wa kwao wakawataja wanaume wa ki-Naijeria!

Najaribu kuunganisha dot na ulichokiandika hapa!
 
Yahoo boys siyo watu wazuri
emoji23.png
hebu dada vua mkuu maana hawa jamaa wanasadikiwa kua wana utajiri usio mithlika bila ya kua na source of income yyte
Yahoo boys siyo watu wazuri
 
Back
Top Bottom