Wanawake wa kitanzania, mnawafahamu wa Nigeria au mnawasikia tu?

Wanawake wa kitanzania, mnawafahamu wa Nigeria au mnawasikia tu?

Kuweka rekodi sawa ni kwamba wale waanzilishi wa zile message demu mzuri yupo kambi ya wakimbizi Ghana au wapi huko ila ameokolewa na mchungaji ila wazazi wake wana $50,000,000 hivyo tuma $100 ufanikishe ni hao hao wanaijeria
 
KZ Natal tunawaita wapopo , kwao pesa mbele. Kuhusu wanawake wao huoa wanawake wa nchini kwao tu hao wengine ni mwendo wa kupigwa miti tu mbaka akili ikae sawa .
 
Katika kipindi cha karibuni kumekuwa na trend ya masista du wengi hapa mjini kujipendekeza kwa wanaume wa ki Afrika Wenye asili ya Nigeria. Wengi waki hadaiwa na pesa ndogo ndogo na safari za uarabuni.

swali langu kwa kina Dada WaNigeria mnawafahamu au mnawasikia tu ??.

Binafsi nimekuwa na experience ya kuwa na urafiki na hawa watu kipind nilipokuwa nchi mmoja kusini mwaAfrika,Kwa experience yangu ndogo ni watu wenye juhud katika utafutaji lakini mbali na hivyo ni watu wenye kando kando nyingi kuliko watu wa nchi nyingine yoyote barani Afrika.

Ni vyema ukatambua jambo unalojiingiza. Binafsi nimeshaona watu wenye asili ya huko wakiBadili wanawake karibu kila siku atakayokuwa mzima afya, Mtu akimuuza mke/girlfriend wake kwa vikundi vya kihuni ili apate hela, Mwanamke kupelekwa katika madanguro na bwana ake mwenyewe.

Mwanaume kumuuzia msala girlfriend wake na kupata kifungo cha muda mrefu, Watu kuwafanyia some embarrassing sexual activities aibu hata kuvitaja hadharani (wanawake wao)wakiwa katika vikundi na mengine mengi anayefahamu anaweza kuongezea .

N.B.
Andiko hili halina lengo kuchafua watu wenye asili ya taifa Fulani bali lina elezea uzoefu binafsi juu ya watu wenye asili ya huko.
bwana ake na vemoney.
 
luckyline yupi? Yule Matron wa harusi za watu......?
Ahaaaa umenikumbusha vituko vya ile harusi5yrs ago hadi nikasimulia humu jf😂😂😂😂niliendaga Mara moja nikaandika hapa mpaka leo ukashikilia bango? Wewe kiboko mkuu niseme hata jingine kama lipo hili nimekuwa too much😁
 
Back
Top Bottom