Ni kweli kabisa mkuu nililala wa kutembelea nchi moja ya ulaya unapozungumuzia mambo ya biashara kwanza unaulizwa we ni mnajeria ukimwambia hafanyi tena biashara na wewe.
Anaweza akakusafirisha katika inchi ya mbali na kukulazimisha ubebe mzigo wa madawa sivyo unauwawa.
Acha uongo wazungu wanawaogopa wanigeria kwa sababu ya wizi na utapeli wa mitandao wanigeria sio wauwaji