Wanawake wa kitanzania, mnawafahamu wa Nigeria au mnawasikia tu?


Acha uongo wazungu wanawaogopa wanigeria kwa sababu ya wizi na utapeli wa mitandao wanigeria sio wauwaji
 
Ndiyo mkuu ninaishi na igbo family Husb and wife ,na mtoto mmoja wala hawna shida mwaka wa 2 sasa hv ....I hate Yoruba and hausa maana wanachowafanyia igbos ni kibaya sana

My dear wanaigeria hawajulikani kwa violence Bali especially Wizi wa Identity information ama debit ama credit cards, wewe jione uko safe kumbe kuna mtu anatumia jina lako somewhere
 
Sifa ya wanaijeria ni wajanja Sana aisee, utapeli, wizi, ujuaji
 
Wanakulitafuta wanakulipata wacha waione NGONDOIGWA.
 
Kuna mpopo mmoja alimuuza classmate wangu kwa mganga wa kienyeji..Nairobi hiyo last year
 
Wanaogopeka china. Hata mkiwa migration kama wako mbele yako jua mtachelewa tu na wao mara nyingi huvutwa kukaguliwa pembeni maana visa zao nyingi feki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…