Wanawake wa kitanzania, mnawafahamu wa Nigeria au mnawasikia tu?

Wanaijeria bhana!

Nilikuwa natizama kipindi kimoja wanawake wa kiafrika waliyopo ughaibuni wakihojiwa kuhusu suala la mahusiano na kuulizwa wanaume wa Taifa lipi kutoka Afrika huto' date naye.

Asilimia 90 wakasema Wanaijeria! Ajabu hata wanawake wa kwao wakawataja wanaume wa ki-Naijeria!

Najaribu kuunganisha dot na ulichokiandika hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…