Wanawake wa kuepuka kuoa kama hutaki kufa kwa presha mapema

Wanawake wa kuepuka kuoa kama hutaki kufa kwa presha mapema

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
1. Mrembo sana
2. Msanii (wa filamu, muziki)
3. Askari
4. Baa medi/hotelia
5. Mlokole
6. Nesi / Daktari
7. Msomi (Hasa ngazi ya chuo kikuu)
8. Mwanamke kutokea familia ya kishua
africa_great_migration_safaris-13__1519900336971__w1500.jpgAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.jpg

NB. Picha haihusiani na mada
 
1. Mrembo sana
2. Msanii (wa filamu, muziki)
3. Askari
4. Baa medi/hotelia
5. Mlokole
6. Nesi / Daktari
7. Msomi (Hasa ngazi ya chuo kikuu)
8. Mwanamke kutokea familia ya kishua
Weee ni mjinga! Kama huna hela hata kivuli chako kitakukimbia! Tafuta hela! UKIWA NA HELA HATA MTOTO WA TRUMP UNAOA NA KUKUTII!
 
09. Usioe mwanamke masikini/fukara
10. Usioe mwanamke asiyekuwa na elimu
Ukifuata vigezo basi hakuna mwanamke yeyote anayefaa kuoa! Sasa tujiulize katika jamii zetu tunazoishi familia zinazoishi mme na mke na zile zisizokuwa na wenza nyingi ni zipi? Kukusaidia ni kwamba nyingi na tena zilizoimara ni zile zenye wenza! Wanaopinga kuoa ni wale ambao hawajitambui na maisha yamewagonga kiasi kwamba hawana uwezo wa kumudu mwanamke!
 
Kila mtu ana mapendeleo yake. Ukiwa na mapendeleo moja kwa moja unakuwa na vigezo.

Anayependa kuoa aoe, asiyependa kuoa aache. Haina uhusiano wowote na uimara wa uchumi au jamii.

Ulifanya wapi utafiti ukagundua "wengi" wa waliooa wapo imara?
 
Ndiyo yupoje huyo?

Nijuavyo mie wanawake hawatofautiani mbususu ni ileile
Ladha ni ile ile
Mizinguo ni ile ile.
Nyodo ni zile zile

Ndiyo yupoje huyo?

Nijuavyo mie wanawake hawatofautiani mbususu ni ileile
Ladha ni ile ile
Mizinguo ni ile ile.
Nyodo ni zile zile
Kweli bloodie nakubali
 
Back
Top Bottom