Wanawake wa kuepuka kuoa kama hutaki kufa kwa presha mapema

Wanawake wa kuepuka kuoa kama hutaki kufa kwa presha mapema

Haya mambo hayanaga fomula maalum kwa hiyo hakuna haha ya kuumiza Kichwa.

Unaweza ukaoa mwanamke mwenye sifa kinyume na hizo ulizotaja hapo juu bado mkashindwana.
 
1. Mrembo sana
2. Msanii (wa filamu, muziki)
3. Askari
4. Baa medi/hotelia
5. Mlokole
6. Nesi / Daktari
7. Msomi (Hasa ngazi ya chuo kikuu)
8. Mwanamke kutokea familia ya kishuaView attachment 3039446
NB. Picha haihusiani na mada
9. Air Hostess
10. Mpenda dini (wengi wao uwa ni mazwazwa na uliwa kiurahisi na Baba Mchungaji)
11. Mbunge wa kuchaguliwa na wananchi au wa kuteuliwa
 
Yeyote tu unaoa acheni uoga vijana.

Na hao wa kwenye hiyo list ni mabingwa wa kutikisa kiberiti. Yaani anaweza kua anakupenda kweli ila akakutikisa kuona kama ww ni zoba au skanganga, akiona we zoba basi hamna rangi utaacha ona.
 
Mwanaume kama hauna akili basi epuka mwanamke kabisa.
This is stupid assertion to advocate your foolishness. The more stupidity a woman is the more dangerous it is for a man to be with her.

You can't change her. Don't be a rehabilitation centre for her, don't be her therapist, just let her go.

Let damaged people, marry demaged people and good people marry good people.
 
Sisi tulio pitia jandoni hatuogopi mwanamke wa rangi yeyote mazee..
The point is not to be scared of them, the point is to be careful for your wellbeing. Women are out there hunting for men they can use and climb to the top of success.

Many women out there are not available for love, they are searching for man as ladders that they can manipulate for their own benefits.

Men be wise out there because of these predators called women, they will empty you leave you to ruin.

Guide your hard earn money and resources with your life if not you will learn the hard way.
 
Nimegundua siku hizi hakuna wanaume kuna wavulana kama makundi yote hayo wanaume hawawezi kuoa ,dunia imekwisha tuna version ya wanaume wavulana na mwishoni watatoweka.
Screenshot_20240712_123917_Google.jpg

Sio kwamba hakuna wanaume sema wanaume wameshtuka mifumo yote kidunia inawakandamiza na wakishayatimba hawana mtetezi kwaiyo wanachukua hatua za kujilinda. Hauwezi kujiweka hatarini kwa makusudi eti kisa wewe ni mwanaume.
 
This is stupid assertion to advocate your foolishness. The more stupidity a woman is the more dangerous it is for a man to be with her.

You can't change her. Don't be a rehabilitation centre for her, don't be her therapist, just let her go.

Let damaged people, marry demaged people and good people marry good people.
Bado haujasema.
 
Back
Top Bottom