Wanawake wa kuepuka kuoa kama hutaki kufa kwa presha mapema

Wanawake wa kuepuka kuoa kama hutaki kufa kwa presha mapema

Hizi challenge ni zipi maana walio wengi ata ukiwa nae ktk mahusiano basi hua mabubu kila kitu hukufanya hawajui
Hao ni wajinga.. oa mwanamke ambaye mnaweza mkakaa mkaongea mkaulizana maswali, na kupanga malengo na wewe.Ukichemka anakukosoa kwa heshima.
Sio vizuri kuwa na mke anakuogopa, anatakiwa kukuheshimu.
 
Hakuna, ndio maana nasema hakuna formula mkuu. Anayeona ndoa sio fungu lake anakaa pembeni tu asituhazie nzi tuliamua kuendeleza vizazi na karne.
Sasa mtu anapata wapi ujasiri wakuanza kumasisha watu wazima kataa ndoa ni utapeli ihali anaakili timamu muhusika
 
Back
Top Bottom