Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Ujinga mtupu, tafuta pesa mpaka kunguru watakuheshimu.1. Mrembo sana
2. Msanii (wa filamu, muziki)
3. Askari
4. Baa medi/hotelia
5. Mlokole
6. Nesi / Daktari
7. Msomi (Hasa ngazi ya chuo kikuu)
8. Mwanamke kutokea familia ya kishua
Mwanamke yoyote epuka kuoa....ni mashetaniila mbususu zao tamu1. Mrembo sana
2. Msanii (wa filamu, muziki)
3. Askari
4. Baa medi/hotelia
5. Mlokole
6. Nesi / Daktari
7. Msomi (Hasa ngazi ya chuo kikuu)
8. Mwanamke kutokea familia ya kishua
Weee ni mjinga! Kama huna hela hata kivuli chako kitakukimbia! Tafuta hela! UKIWA NA HELA HATA MTOTO WA TRUMP UNAOA NA KUKUTII!1. Mrembo sana
2. Msanii (wa filamu, muziki)
3. Askari
4. Baa medi/hotelia
5. Mlokole
6. Nesi / Daktari
7. Msomi (Hasa ngazi ya chuo kikuu)
8. Mwanamke kutokea familia ya kishua
Ndiyo yupoje huyo?1. Mrembo sana
Bill Gates ndoa ilimshinda pamoja na mipesa yake yote chungu nzimaWeee ni mjinga! Kama huna hela hata kivuli chako kitakukimbia! Tafuta hela! UKIWA NA HELA HATA MTOTO WA TRUMP UNAOA NA KUKUTII!
Umesahau mwanasheria1. Mrembo sana
2. Msanii (wa filamu, muziki)
3. Askari
4. Baa medi/hotelia
5. Mlokole
6. Nesi / Daktari
7. Msomi (Hasa ngazi ya chuo kikuu)
8. Mwanamke kutokea familia ya kishuaView attachment 3039070
NB. Picha haihusiani na mada
Ukifuata vigezo basi hakuna mwanamke yeyote anayefaa kuoa! Sasa tujiulize katika jamii zetu tunazoishi familia zinazoishi mme na mke na zile zisizokuwa na wenza nyingi ni zipi? Kukusaidia ni kwamba nyingi na tena zilizoimara ni zile zenye wenza! Wanaopinga kuoa ni wale ambao hawajitambui na maisha yamewagonga kiasi kwamba hawana uwezo wa kumudu mwanamke!09. Usioe mwanamke masikini/fukara
10. Usioe mwanamke asiyekuwa na elimu
Kila mtu ana mapendeleo yake. Ukiwa na mapendeleo moja kwa moja unakuwa na vigezo.Ukifuata vigezo basi hakuna mwanamke yeyote anayefaa kuoa! Sasa tujiulize katika jamii zetu tunazoishi familia zinazoishi mme na mke na zile zisizokuwa na wenza nyingi ni zipi? Kukusaidia ni kwamba nyingi na tena zilizoimara ni zile zenye wenza! Wanaopinga kuoa ni wale ambao hawajitambui na maisha yamewagonga kiasi kwamba hawana uwezo wa kumudu mwanamke!
sasa huu ndo ukweli..... kisemo cha Kiba... weee unanifaaa kifaaaMwanaume kama hauna akili basi epuka mwanamke kabisa.
Ndiyo yupoje huyo?
Nijuavyo mie wanawake hawatofautiani mbususu ni ileile
Ladha ni ile ile
Mizinguo ni ile ile.
Nyodo ni zile zile
Kweli bloodie nakubaliNdiyo yupoje huyo?
Nijuavyo mie wanawake hawatofautiani mbususu ni ileile
Ladha ni ile ile
Mizinguo ni ile ile.
Nyodo ni zile zile
Sie ambao ata DD tulishindwa kupata tubakie single tuuMwanaume kama hauna akili basi epuka mwanamke kabisa.