Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Eeeeeeh!Eeeeeeh! Sasa apa wapi kunafaaa wakienyeji nao pia saiv hamna kitu unajua1. Mrembo sana
2. Msanii (wa filamu, muziki)
3. Askari
4. Baa medi/hotelia
5. Mlokole
6. Nesi / Daktari
7. Msomi (Hasa ngazi ya chuo kikuu)
8. Mwanamke kutokea familia ya kishuaView attachment 3039070
NB. Picha haihusiani na mada
Mkumbuke mnaposema tukatae ndoa ndivyo uterezi kupata inakua tabu kwa sisi amba hatukuzoea mshike mshike😄😄Kataa ndoa wanazidi kuchukua points
Ukijibu hapa mr Morning_star ,nami nitakujibu vyemaBill Gates ndoa ilimshinda pamoja na mipesa yake yote chungu nzima
Sio kweliMwanaume kama hauna akili basi epuka mwanamke kabisa.
Chai1. Mrembo sana
2. Msanii (wa filamu, muziki)
3. Askari
4. Baa medi/hotelia
5. Mlokole
6. Nesi / Daktari
7. Msomi (Hasa ngazi ya chuo kikuu)
8. Mwanamke kutokea familia ya kishuaView attachment 3039279
NB. Picha haihusiani na mada
KunywaChai
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ujinga mtupu, tafuta pesa mpaka kunguru watakuheshimu.
Sawa mkuu, ila kuoa binafsi nitachelewa mno kuliko kawaida😆😆Kuna siku moja Mademoiselle alisema alikutana au kuchat na mtu ambaye ni kataa ndoa kindaki ndaki kwa maneno hapa jukwaani lkn kiuhalisia ana familia yake
Kwahiyo nyie fuateni mkumbo kibwege wkt wenzenu wanafamilia zao
Wacha kutukosea mkuu, sisi ni watu bora kabisa, tunajali familia zetu na madhaifu ni kwa kila binadamu.9. MPARE
Mwanaume kama hauna akili basi epuka mwanamke kabisa.
Kwani kuna anaejua hatima ya mapenzi kua inaishia kwenye ndoaKwenye kuoa hakuna formula maalumu as tunaongozwa na hisia, upendo na matamanio...destiny ya ndoa hamna wa kuitabiri.
Hizi challenge ni zipi maana walio wengi ata ukiwa nae ktk mahusiano basi hua mabubu kila kitu hukufanya hawajuiHili ndio jibu.... Oa mwanamke anaye ku support na kuku challenge. Kuoa ni muhimu kama wewe ni mwanaume uliyetimia na mwenye akili.