DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Wanawake mchawi wenu Ni wanawake wenzenu
Mnalalamika hamuolewi wakati wenzenu wanagawa Bei sawa na bure
Kiufupi Maisha yamekuwa Magumu Sana kwa kila Mtu so watu wanatafta unafuu ulipo
Mnabidi jinsi mlivyo anzisha kampeni yenu ya feminist ndo mpambane kuwazuia wanawake wenzenu wanaogawa uchi Bei sawa na bure hasa wake za watu.