Wanawake wa Marekani wana haki kudai kwenda na watoto wao kazini kama Elon Musk?

Wanawake wa Marekani wana haki kudai kwenda na watoto wao kazini kama Elon Musk?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Huko Marekani kuna wanawake wameanza kulalamika kwamba ingekuwa ni mwanamke anafanya kama anavyofanya Elon Musk kwenda na watoto wake kazini Ikulu ya Marekani watu wangepiga kelele sana!
Haya madai yana mashiko?
20250214_085858.jpg

20250214_085625.jpg

20250213_235739.jpg
 
wanawake wanamawivu ya ajabu ajabu ipo siku wataomba waende na kende kwa kisingizio hichohicho cha wanaume tunaenda nazo!
 
Huko Marekani kuna wanawake wameanza kulalamika kwamba ingekuwa ni mwanamke anafanya kama anavyofanya Elon Musk kwenda na watoto wake kazini Ikulu ya Marekani watu wangepiga kelele sana!
Haya madai yana mashiko?
View attachment 3236133
View attachment 3236134
View attachment 3236135
Mbona Kama wewe ndo unalalamika na kupiga kelele Sana
Maana hajaweka source ya habari yako Wala social media inaonyesha madai yako

INGAwa umeshaonyeshwa mifano ya wengine
 
Mbona Kama wewe ndo unalalamika na kupiga kelele Sana
Maana hajaweka source ya habari yako Wala social media inaonyesha madai yako

INGAwa umeshaonyeshwa mifano ya wengine
Screenshot_20250214-085518_X.jpg
Screenshot_20250214-090331_X.jpg
 
Huyo mwanamke anayeleta mtoto Ikulu ana pesa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom