chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Wanaume wa Mkoa wa Mara wana addiction moja, kuoa kilimanjaro. Wengi wakishaoa huko, huwekeza fedha zao zote ukweni, wakiacha Mkoa na maeneo walikozaliwa yakiwa hoi. Kaskazini kama kawaida, inabeba watoto wote waliosomeshwa vizuri na kuondoka nao baada ya talaka au kifo. Vitu hivyo hutokea baada ya mali kuwa nyingi.
Kwa aibu ya kutapeliwa, na ndugu na makazi yao huko mikoani kuonekana choka mbaya,watu wa Mkoa wa Mara hukwepa kupeleka misiba kwao. Huamua kubanana makaburi ya mjini japo kwao wazazi wao wameacha maeneo ya kuzikiwa.
Ni aibu iliyoje