Kauli hii si njema kabisa mkuuwakurya ni mafala sana
Timing ya mada hii inatia mashaka sana na kile kinachoendelea hivi sasaWanaume wa Mkoa wa Mara wana addiction moja, kuoa kilimanjaro. Wengi wakishaoa huko, huwekeza fedha zao zote ukweni, wakiacha Mkoa na maeneo walikozaliwa yakiwa hoi. Kaskazini kama kawaida, inabeba watoto wote waliosomeshwa vizuri na kuondoka nao baada ya talaka au kifo. Vitu hivyo hutokea baada ya mali kuwa nyingi.
Kwa aibu ya kutapeliwa, na ndugu na makazi yao huko mikoani kuonekana choka mbaya,watu wa Mkoa wa Mara hukwepa kupeleka misiba kwao. Huamua kubanana makaburi ya mjini japo kwao wazazi wao wameacha maeneo ya kuzikiwa.
Ni aibu iliyoje
Ni aibu huwa hawakumbuki kabisa kujenga kwao, unaweza kukuta yuko dar es salaam anamali nyingi kula Bata cheo kikubwa.wakurya ni mafala sana
nini kinaendeleaTiming ya mada hii inatia mashaka sana na kile kinachoendelea hivi sasa
Kwani wa Kanda ya ziwa wanakufa sana!!?Timing ya mada hii inatia mashaka sana na kile kinachoendelea hivi sasa
nina rafiki yangu nafanya nae kazi kuna siku tulikwena kwenye msiba kwao pale Musoma mjini hadi aibu. Nyumba ya urithi kashindwa hata kuikarabatiNi aibu huwa hawakumbuki kabisa kujenga kwao, unaweza kukuta yuko dar es salaam anamali nyingi kula Bata cheo kikubwa.
Ila ukifika kwao utalia machozi