Wanawake wa mjini hawaridhishwi kimapenzi, vijana kuweni makini

mwanangu eeh! ukishindana na ulipotoka UTAUMIA, mi nilishaacha hizo habari za kumridhisha mwanamke, nikisharidhika mimi imetosha kabsaaa, kama yeye atakua bado ampelekee mwingine, ruksa . niumize kichwa kupata PE$A, alafu eti niteseke tena kuiridhisha Kei? kama siyo ufala jazz band ninini!? Eboo!
 
Nilichokua namaanisha NI hichi, ila JAMIIFORUMS wanafuta vdeo na picha
 

Attachments

  • story_za_town_-20241121-0001.mp4
    271.7 KB
  • Screenshot_2024-11-21-18-46-12-572_com.gbinsta.android-edit.jpg
    251.3 KB · Views: 4
Mke wako unamzaa wewe,kuanzia kitabia adi kimatendo rejea kitabu cha mwanzo 2:22 aliumbwa toka kwako,

Ukimtreat na kumpenda ipasavyo kwa moyo bila hila yeyote ndani yake atabadilika na kuwa vile unataka.

Wanawake huwa wanareact (especially negatively) kwa kile wanachoona, kusikia au kutendewa,so mwanaume wewe kama kichwa ukiloose direction kidogo yeye ndo ameenda mazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…