Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Hawa wanawake wa mjini wanaozungumza wakitamka maneno kwa madoido kama wanameza ulimi ni vituko haswa.
Mtu anakaribisha kwenye biashara anasema karrlibu "chakurrla" badala ya "karibu chakula'' !
Unaweza kudhani wana ulemavu wa kushindwa kukaza ulimi mdomoni.