Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 4,666
- 11,789
Au ndo hao hao wa kubana Sautiš¤£š¤£š¤£Hujakutana na wale ukimuomgelesha anakujibu kama yuko tumboni au uvungunišš¾
Au ndo hao hao wa kubana Sautiš¤£š¤£š¤£Hujakutana na wale ukimuomgelesha anakujibu kama yuko tumboni au uvungunišš¾
Mimi huwa nawanyoosha! Unamsemesha mtu anaongelea huko nyumašAu ndo hao hao wa kubana Sautiš¤£š¤£š¤£
Iykyk....Una gubu
š¤£š¤£š¤£Mimi huwa nawanyoosha! Unamsemesha mtu anaongelea huko nyumaš
Ujinga ujinga tu! Wanashinda mitandaoni kututukana sisi wasukuma ni washamba kisa tunakandamizašWanawake wa mjini hadi sauti inapodolewa.
Kuna mdada mmoja alikua anamuhoji hanscana akawana anataka afanye comparison kati ya wakamaria na content creators kina nani wanaokota zaidi, sasa jinsi alivokua anatamka neno wakamaria & content creator sasa.....Hujakutana na wale ukimuongelesha anakujibu kama yuko tumboni au uvungunišš¾
Lete manenoš¤£Kuna mdada mmoja alikua anamuhoji hanscana akawana anataka afanye comparison kati ya wakamaria na content creators kina nani wanaokota zaidi, sasa jinsi alivokua anatamka neno wakamaria & content creator sasa.....
Umenikumbusha ujanani nilikuwa na pisi moja ya Kikurya nilikuwa napenda sana kiswahili chake chenye lafudhi ya Kikurya ila akiongea English kama Muingereza mweusi.Ujinga ujinga tu! Wanashinda mitandaoni kututukana sisi wasukuma ni washamba kisa tunakandamizaš
Ndio inavyotakiwašš½Umenikumbusha ujanani nilikuwa na pisi moja ya Kikurya nilikuwa napenda sana kiswahili chake chenye lafudhi ya Kikurya ila akiongea English kama Muingereza mweusi.
Nowadays NOT now days. Watu wengi wanalikosea hili neno. Ni neno moja kiswahili chake ni siku hizi.Now day's Sauti za Usiku..Wanazitumia kwenye biashara za Mchana..Niki sikia sauti zao huwa na lose mind Totallyšš
Wakamarrryia na content crrryeaitaKuna mdada mmoja alikua anamuhoji hanscana akawana anataka afanye comparison kati ya wakamaria na content creators kina nani wanaokota zaidi, sasa jinsi alivokua anatamka neno wakamaria & content creator sasa.....
Tswiraaaaaa akimaanisha twitterWakamarrryia na content crrryeaita
Wanawake wa mjini hadi sauti inapodolewa.