Wanawake wa mjini wanaotamka maneno kama wanameza ulimi ni vichekesho

Hujakutana na wale ukimuongelesha anakujibu kama yuko tumboni au uvungunišŸ™ŒšŸ¾
Kuna mdada mmoja alikua anamuhoji hanscana akawana anataka afanye comparison kati ya wakamaria na content creators kina nani wanaokota zaidi, sasa jinsi alivokua anatamka neno wakamaria & content creator sasa.....
 
Lete maneno🤣

Wakaemarlier na conteint kriieilaz
 
Ujinga ujinga tu! Wanashinda mitandaoni kututukana sisi wasukuma ni washamba kisa tunakandamizašŸ˜
Umenikumbusha ujanani nilikuwa na pisi moja ya Kikurya nilikuwa napenda sana kiswahili chake chenye lafudhi ya Kikurya ila akiongea English kama Muingereza mweusi.
 
Ndio inavyotakiwašŸ‘ŒšŸ½
 
Now day's Sauti za Usiku..Wanazitumia kwenye biashara za Mchana..Niki sikia sauti zao huwa na lose mind Totally😃😃
 
Nowadays NOT now days. Watu wengi wanalikosea hili neno. Ni neno moja kiswahili chake ni siku hizi.
 
Kuna mdada mmoja alikua anamuhoji hanscana akawana anataka afanye comparison kati ya wakamaria na content creators kina nani wanaokota zaidi, sasa jinsi alivokua anatamka neno wakamaria & content creator sasa.....
Wakamarrryia na content crrryeaita
 
Ukishakosa Akili jitahidi upate elimu walau kidogo.
Ndio matokeo yake hayo.

Mwanamke mwenye Akili au yule aliyesoma akaelimika huwezi mkuta anafanya huo upuuzi.
Ataongea sauti yake ya asili na bila kuiga wajingawajinga wa kwenye filamu na muziki
 
Back
Top Bottom