Hahaha,Mtu anakaribisha kwenye biashara anasema karrlibu "chakurrla" badala ya "karibu chakula'' !
Af ni mwanaumeUna gubu
Hii observation yako ni 💯%.Kwenye hivi vibiashara vya fremu mjini karibia wote siku hizi wanaoongea hivyo, ni kama wameambukizana.
😂😂Una rrlips nzurrli na uzurrli wa pekee
Ila wewe jamaa mlalamishi sana. DuhHawa wanawake wa mjini wanaozungumza wakitamka maneno kwa madoido kama wanameza ulimi ni vituko haswa.
Mtu anakaribisha kwenye biashara anasema karrlibu "chakurrla" badala ya "karibu chakula'' !
Unaweza kudhani wana ulemavu wa kushindwa kukaza ulimi mdomoni.
Hakika mkuu voice note inatakiwa Sana hapaHivi jf hakuna voicenote, hapo ungeongea ningeelewa...ona sasa!!
Ushanifahamu sheikh akina Ndejembi wapemba hao ndiyo wanapenda kuongea hivyoWatanzania kwa kuigana wako vizuri sana. Nakumbuka nilishaleta kisa changu cha kumbamiza wife vibao kwa sababu kila akiongea maneno mawili lazima aseme, "ushanifahamu ehh!".
Nikasema siongei na Jose Mara hapa 😂.
Hata mimi sijaelewa kabisa😂 sijui ni anakula sehemu gani?Hivi jf hakuna voicenote, hapo ungeongea ningeelewa...ona sasa!!
Ushanifahamu ehh! 😁Ushanifahamu sheikh akina Ndejembi wapemba hao ndiyo wanapenda kuongea hivyo