Hivi ujiegeshe kwa mumewangu eti kisa ana gari nzuri udhani utapata chochote?
Yeye kila sent yake ipo kwenye mipango ukitaka akuhonge utachoka sana,akijitahidi 20K na hapo umelia shida zote mpaka umeua ndugu.
Ila kwa familia yake hela anatoa tu bila hata kuambiwa.
Pole sana wadangaji
Kuja kushituka unakuta kaingia kwenye 18 za alwatan flani hivi mbaya zaidi hawajifunzi kesho tena anamkubali mwenye gari mwingine safari hii na mimba anabeba!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.