Hivi ujiegeshe kwa mumewangu eti kisa ana gari nzuri udhani utapata chochote?
Yeye kila sent yake ipo kwenye mipango ukitaka akuhonge utachoka sana,akijitahidi 20K na hapo umelia shida zote mpaka umeua ndugu.
Ila kwa familia yake hela anatoa tu bila hata kuambiwa.
Pole sana wadangaji