imadeyouwet
Member
- Mar 6, 2018
- 7
- 5
Ukishaukubali mzigo sasa ukataka uje ulipo utakuambia tuma nauli, akikuambia njoo ukifika nitalipa unalalama eti unaweza fika alafu kidume usipokee simu, ukimwambia basi naja mimi kukufata anakuambia huku nyumbani sitakiwi kuonekana na mwanaume kabisa. Baba sijui ni shekhe wa wapi huko.
Ukimtumia hela basi zimekwenda na mto uliojaa mafuriko. Huo ndo utakua mwisho wa mwanamke huyo kuwasiliana na wewe. Ina uma sana jamani ukiahidi huduma toa huduma.