imadeyouwet
Member
- Mar 6, 2018
- 7
- 5
Kumekua na tabia ya wanawake wanakufata inbox wanakutamanisha kwa meseji tamu sana na hata kama hukua na mpango wa kununua show basi unajikuta unashawishika. Anakupa list of services na zote huwa zinaridhisha na bei hua mwanana kabisa.
Ukishaukubali mzigo sasa ukataka uje ulipo utakuambia tuma nauli, akikuambia njoo ukifika nitalipa unalalama eti unaweza fika alafu kidume usipokee simu, ukimwambia basi naja mimi kukufata anakuambia huku nyumbani sitakiwi kuonekana na mwanaume kabisa. Baba sijui ni shekhe wa wapi huko.
Ukimtumia hela basi zimekwenda na mto uliojaa mafuriko. Huo ndo utakua mwisho wa mwanamke huyo kuwasiliana na wewe. Ina uma sana jamani ukiahidi huduma toa huduma.