Wanawake wa namna hii huwa wananivutia sana

Shida siyo kuvaa extensions, shida ni kwamba wengi hawapendi rangi zao na nywele zao za asili.
Tatizo liko wapi hapa ?? Mbona unaweza kutengeneza nywele zako na ukawa bado mzuri ??
Sijui kwakweli shida iko wapi,japo kila mtu na lifestyle yake..tho' Mimi huwa napenda kubadilika badilika(nywele)sipendi kuwa na fashion moja kwa zaidi ya miaka miwili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…