Wanawake wa namna hii huwa wananivutia sana

Wanawake wa namna hii huwa wananivutia sana

Nimejaribu kusoma post yako nara mbili ili nielewe kinachokuvutia hapo ni nini? Labda staili ya nywele au?? Sijaelewa yaani. Maana sioni asili yao ipo kwenye nini. Kama ni Make up wamepaka kama yote. Nywele zenyewe ukiangalia vizuri siyi asili kwa tafsiri ya asili ilivyo.
 
Sisi wenye kipilipili cha kizigua ujasiri huo bado. Ngoja nikaweke rough dread nione ntakuaje na kakichwa kangu kama tumba ya ubuyu
Screen-Shot-2014-12-04-at-4.51.49-PM-e1417827634755.png

Au unaweza kuweka extension nzuri tu, au kusuka hivi.
Muhimu ni kwamna usiondoe asili yako na kutaka kuonekana mzungu
71-MvjfS0dL._SY355_.jpg
 
Nimejaribu kusoma post yako nara mbili ili nielewe kinachokuvutia hapo ni nini? Labda staili ya nywele au?? Sijaelewa yaani. Maana sioni asili yao ipo kwenye nini. Kama ni Make up wamepaka kama yote. Nywele zenyewe ukiangalia vizuri siyi asili kwa tafsiri ya asili ilivyo.
Kazi ya make up ni Enhancement of Beauty hivyo siyo mbaya kabisa.
Nywele unaweza kuziweka dawa vizuri kabisa lakini muhimu hapa ni kwamba ziwe nywele zako.
Shida ni kwamba watu wameamini mpaka waonekane kama wazungu au wawe weupe ndiyo Uzuri.

NB: Kupaka Make-Up haina tofauti na kuweka dawa kiatu chako ili kingae zaidi. Siyo kila make up inaweza kukupendeza au inakufaa. Paka make up inayoendana na jinsi ulivyo siyo kukufanya kituko
 
Back
Top Bottom