Wanawake wa Pemba na Kanda ya Ziwa wapigwe sindano ya uzazi wa mpango kwa lazima, wanatesa watoto

Kanda ya ziwa wanazaana kama panya
 
Nilitembelea mji mdogo wa Isaka, pale kila mwanamme kama hanyonyeshi basi ana mimba. Serikali hauoni kuwa hili ni tatizo la kiuchumi na mambo ya nyota ya kijani, UMATI nk yamebaki kwenye makaratasi na kulipana mishahara tu
Huku mtoto wa miaka 16 keshazaa,yani binti ya miaka 22 kumkuta na watoto wataru kawaida...
 
Eti Pemba na Kanda ya Ziwa ! Umewahi kutembelea mkoa wa Kigoma ? Lazima kuzingatia agizo la Mungu yaani Zaeni muongezeke mkaijaze nchi.
 
Kwani walikuja kukuomba pesa ya unga?
 
Kwani washawahi kukufuata kukuomba chakula?

Na hivyo vyakula sijui soseji, mayai hasa ya kizungu ni maradhi matupu, bora ungesema kama wangekuwa wanakosa matunda na mbogamboga.
 
kwann bado unahisi watoto wengi ni tatizo au umemezeshwa???
 
Duuuuuh,wapewe tu elimu ya uzazi watakuwa saw kweli hayo ni mateso unaleaje watoto wote hao alafu wote wadogo.
 
watoto unaodai wanateswa ndio wenye afya nzuri kuliko hawa wa dar wa njia ya mpango mtoto wa miaka 13 wengine wanampka kilo 80 sasa haya si magonjwa wengine mlo mmoja emu acha wajaze ulimwengu mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…