Future eyes
Senior Member
- May 30, 2022
- 128
- 71
Hii dunia inaharibiwa sana na ninyi mnaojiita wasomi, haya maisha mumeyakuta hivyo kusoma kwenu kusituletee kero huku mitaani, kwa mwanamke anayejitambua hupigania sana kuzaa mara tu baada ya kuolewa kwani aliolewa ili azae, linapokuja la azae wangapi hilo siyo lake bali ni mipango ya mungu, hebu fikiria wewe mtoto wa 6 kwenu, kama wazazi wako wangeliamua kufunga uzazi ungelikuwepo? Ugumu wa maisha hata ukiwa na mtoto mmoja anaweza kukushinda kumtunza, kila mmoja anaishi kwa uwezo wa Mungu acha ushamba wa kujiona umesoma kumbe hauna chochote unachokijuwa ktk hii dunia