Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,593
- 8,595
Ndio Kama nilivyo Anza na kichwa Cha habari hapo juu.
Ni ukweli usio pingika kwamba dunia ya Sasa imejaa wanawake wapuuzi,matapeli,majizi, majuaji nk.
Hivyo basi kuishi na watu wa sampuli hiyo ukitumia akili utapoteza muda wako na nguvu zako kusumbuka na jitu lisilo jitambua linataka nini katika maisha.
Hivyo Kama wewe ni kijana wa kiume hakikisha unajijenga kuwa na moyo mgumu wenye maamuzi magumu hata Kama unaumia ila maamuzi yakisha toka na iwe hivyo ndivyo ulivyo amua na sio kuanza kurudi Rudi nyuma.
Yaani ukisha ona mkeo sijui girlfriend wako kanza kukuonesha taa za njano kuashiria taa inayo kuja hapo Ni nyekundu basi hakikisha unamfanyia surprise kwa kumtangulia mbele yake na kumuonesha utaira ambao hajawahi kuuona kwako.
Nakuambia ukizembea imekula kwako,ndio maana leo wanawake wanaingia kudanga Hadi ndoani yaani akisha jaza mfuko wake akisha ona ametosheka tu analeta za kuleta ili ndoa ife a hukue na kiinua mgongo Cha hamsini kwa hamsini akale Bata na maboya zake.
Sitachoka kuendelea kuwaasa wanaume tuendelee kufanya mambo kwa ajiri yetu na badae yetu maana tukizeeka bila kuwa na pesa tunatia huruma sana jaman
Haya mambo ya kuokota wanawake anacho miliki Cha thamani Ni smart phone na kibegi Cha kubebea mafuta ya kulainishia marinda yao wanavyo kobolewa Ni ujinga , yaaani unahangaika na kujitoa kwa mwaname anae changia kitobo tu kwenye mahusiano alafu mwisho wa siku anataka kuondoka na kipande Cha nyumba au biashara Ni usenge wa kufa mtu. Wanaume tunahitaji kuwa na mioyo migumu Sana ....hata Kama umependa vipi maamuzi magumu yanahitajika la si hivyo utadhurumiwa mapenzi yako na Mali zako pia zitazulumiwa ushindwe kula Bata na vibinti chipukizi.
Inauma mwenye masikio na asikie , najua Kuna mbuzi watakuja hapa ooooh.....mtoa maada katoswa sijui mapenzi yanamtesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. .....kukuweka wazi jioni ya leo naenda kula toto la kinyaturu maana kanisogezea Sana nikile nilikua naleta pozi cos muda wa kusaka mfariji wangu pesa ulikua umebana Sana so Leo ndio nimepata chance [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] tukutane kwenye kula kimasihara Leo usiku.
NB: Mwanaume ukishindwa kujipenda, kujithani na kuitambua thamani yako umeisha.......nasema umeishaaaaa