Wanawake wa sasa hawahitaji akili kuishi nao, wanahitaji moyo mgumu

Wanawake wa sasa hawahitaji akili kuishi nao, wanahitaji moyo mgumu

Mwanamke mpuuz ulitakiwa uonyeshe uanaume wako kwa kumfunulia upuuzi wake wote jinsi ulivyo,

Mpk Akili yeye mwenyewe kwa kinywa chake kabisa kua " aisee Mimi Ni mpuuzi"

Kisha wewe mwnyw ndo uamue,
- Either umwondolee huo UPUUZ wake kichwani na umuingizie maarifa mapya uJIpate THAWABU KWA MWENYEZI MUNGU WAKO.
Thawabu ya kweli utaipata kwa kusaidia watoto yatima na wasio jiweza.acheni kujipa kazi ya uzazi kwa wakubwa wenzenu.....Kama baba yake na mama yake hakuwaelewa wewe Ni nani.....? Mwishowe mchapane makofi muanze kwenda kupeana maarifa kwa ocd na ustawi wa jamiii [emoji23][emoji23][emoji23] huo muda nunua gunia la viazi na mbuzi mmoja pela kwa watoto yatima nao waamke asubuhi na supu nzito.

Na hapo penye kujifanya nyie ndio waalimu wa kufundisha watu wazima hao wanawake ndipo wanapo chukulia point tatu muhimu......kwa akili yako unadhini huyo mwanamke anacho kifanya hakijui.....? Kwa kuwa yeye Ni punda au sio.....?[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Vijana wana uoga Sana, hawatambui vipawa walivyojaaliwa na Muumba wao.
Hivi unajijua una Mambo 99 yanakungoja ukiachana na hilo moja la mwanamke ........muda Ni Mali mzee .....acha kujifanya wewe ndio mwalimu wa kuwafundisha watu wazima ambao wanajua kwenye hiyo ndoa wamefata nn.....?

Mtu kwenye ndoa kafuata pesa ...wewe utaanza kumfundisha kuwa pesa Ni za shetani sijui nini nini.....?

Kama ndio hivo wanawake wanakuchora tu huku wakisubiri muda wao ufike wa terminate mission waendelee mbelee . Wakuache ukilialia na uwalimu wako
 
Uoga unapitiliza yani kiasi ya kwamba sasa nahisi wanawake watatutawala mkuu
Wanawake wanaanza kukutawala ukianza kuonyesha mwenyewe hujiamini.

Mwanaume unaejiamini huwez kuogopa kudate na mwanamke yeyote uliempenda.

Ukianza kuwaogopa Sana wanawake hata majukum ya kuwahudumia utaona Kama unaonewa.

Kumbe ni wajibu wako mwenyewe Unapaswa kumhudumia mwanamke wako.

Asilimia kubwa ya Wanaume wasiojiamini ndo wale wanaokimbia MAJUKUMU yao na kuanza kuipigia hesabu pesa ya aliyoitolea jasho mwanamke wake.
 
Acha kuwa karirisha watu eti kumu endekeza mwanamke mjinga ndio uwanaume [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo Ni uboya Kama uboya mwingine . Uwanaume Ni kutambua kuwa hapa sipo sehemu sahihi kuwepo. Nahitaji kuwa sehemu Fulani nikifanya jambo Fulani kwa ajiri fulani.

Sasa Kama unazani ulikuja duniani kuja kuwaendekeza wanawake ongeza juhudi.......ila nakukumbusha pia "Mzazi mwenye hekima huacha urithi hado kwa watoto wa watoto zake" Sasa wewe Kama unadhani utarithisha hayo malumbano yako yasiyo na kichwa Wala miguu kwa hao wanawake wako sawa ......
 
Ndio Kama nilivyo Anza na kichwa Cha habari hapo juu.

....Ni ukweli usio pingika kwamba dunia ya Sasa imejaa wanawake wapuuzi,matapeli,majizi, majuaji nk.

Hivyo basi kuishi na watu wa sampuli hiyo ukitumia akili utapoteza muda wako na nguvu zako kusumbuka na jitu lisilo jitambua linataka nini katika maisha.

Hivyo Kama wewe Ni kijana wa kiume hakikisha unajijenga kuwa na moyo mgumu wenye maamuzi magumu hata Kama unaumia ila maamuzi yakisha toka na iwe hivyo ndivyo ulivyo amua na sio kuanza kurudi Rudi nyuma.

Yaani ukisha ona mkeo sijui girlfriend wako kanza kukuonesha taa za njano kuashiria taa inayo kuja hapo Ni nyekundu basi hakikisha unamfanyia surprise kwa kumtangulia mbele yake na kumuonesha utaira ambao hajawahi kuuona kwako.

Nakuambia ukizembea imekula kwako,ndio maana leo wanawake wanaingia kudanga Hadi ndoani yaani akisha jaza mfuko wake akisha ona ametosheka tu analeta za kuleta ili ndoa ife a hukue na kiinua mgongo Cha hamsini kwa hamsini akale Bata na maboya zake.

Sitachoka kuendelea kuwaasa wanaume tuendelee kufanya mambo kwa ajiri yetu na badae yetu maana tukizeeka bila kuwa na pesa tunatia huruma Sana jaman ...

Haya mambo ya kuokota wanawake anacho miliki Cha thamani Ni smart phone na kibegi Cha kubebea mafuta ya kulainishia marinda yao wanavyo kobolewa Ni ujinga , yaaani unahangaika na kujitoa kwa mwaname anae changia kitobo tu kwenye mahusiano alafu mwisho wa siku anataka kuondoka na kipande Cha nyumba au biashara Ni usenge wa kufa mtu. Wanaume tunahitaji kuwa na mioyo migumu Sana ....hata Kama umependa vipi maamuzi magumu yanahitajika la si hivyo utadhurumiwa mapenzi yako na Mali zako pia zitazulumiwa ushindwe kula Bata na vibinti chipukizi.

Inauma mwenye masikio na asikie , najua Kuna mbuzi watakuja hapa ooooh.....mtoa maada katoswa sijui mapenzi yanamtesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. .....kukuweka wazi jioni ya leo naenda kula toto la kinyaturu maana kanisogezea Sana nikile nilikua naleta pozi cos muda wa kusaka mfariji wangu pesa ulikua umebana Sana so Leo ndio nimepata chance [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] tukutane kwenye kula kimasihara Leo usiku.

NB
Mwanaume ukishindwa kujipenda, kujithani na kuitambua thamani yako umeisha.......nasema umeishaaaaa
Kwa mwanaume anayetaka amani ya moyo na utulivu wa nafsi na kuondoa migongano katika mahusiano basi bado atahitaji akkli kyishi na mwanamke.

Kama mwanaume bado ni mtu asiyejali amani ya moyo na ambaye hajali migongano yani ni mwanaume asiyejali shari basi anahitaji moyo mgumu tu kuishi nae.

Ukiishi na mwanamke kiugumu ugumu unazingua kweli yani.

Ndio maana dini ikaruhusu uongo katika ndoa wenye lengo LA KUTENGENEZA NDOA IDUMU ZAIDI NA KUEPUSHA MIGONGANO.

Kuna siku nilipewa off kibaruani,basi niliporudi wife akaniuliza mbona mapema nikamuambia "nimeomba ruhusa kwa bosi kuwa mke wangu anaumwa lkaini najua huumwi ila tu nimekumiss kweli sijui kwa nini"

Kuna jambo alinuna lakini nipomuambia hivi akafurahi akaanza story zingine
 
Acha kuwa karirisha watu eti kumu endekeza mwanamke mjinga ndio uwanaume [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo Ni uboya Kama uboya mwingine . Uwanaume Ni kutambua kuwa hapa sipo sehemu sahihi kuwepo. Nahitaji kuwa sehemu Fulani nikifanya jambo Fulani kwa ajiri fulani.

Sasa Kama unazani ulikuja duniani kuja kuwaendekeza wanawake ongeza juhudi.......ila nakukumbusha pia "Mzazi mwenye hekima huacha urithi hado kwa watoto wa watoto zake" Sasa wewe Kama unadhani utarithisha hayo malumbano yako yasiyo na kichwa Wala miguu kwa hao wanawake wako sawa ......
Hawa wanadhani kutolerate bullshit ya this other gender ndio uanaume..

Hafai, muache tafuta mwingine

Hawa ndio wale hadi wanaanza kupiga wanawake.... instead of beating her leave her as a widow. Huo ndio ugentroman sasa[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Acha kuwa karirisha watu eti kumu endekeza mwanamke mjinga ndio uwanaume [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo Ni uboya Kama uboya mwingine . Uwanaume Ni kutambua kuwa hapa sipo sehemu sahihi kuwepo. Nahitaji kuwa sehemu Fulani nikifanya jambo Fulani kwa ajiri fulani.

Sasa Kama unazani ulikuja duniani kuja kuwaendekeza wanawake ongeza juhudi.......ila nakukumbusha pia "Mzazi mwenye hekima huacha urithi hado kwa watoto wa watoto zake" Sasa wewe Kama unadhani utarithisha hayo malumbano yako yasiyo na kichwa Wala miguu kwa hao wanawake wako sawa ......
Badilika mkuu,
kua na mtazamo chanya juu ya wanawake.

Uyo mwanamke Unaweza wewe shindwa kuendana nae, akapata mwingine wakaendana Safi kabisa.

Tena mtu akakakushangaa ulikwama wapi mkuu[emoji2]

Lilotokea kwako kwa uyo mwanamke wako,

Haliwez kugeneralize kitakachotutokea wanaume wengine kwa uyo mwanamke wako.

Apo mjinga Ni wewe ulieshindwa kumtuliza kiumbe unayemmudu KWENYE himaya yako.
 
Kwa mwanaume anayetaka amani ya moyo na utulivu wa nafsi na kuondoa migongano katika mahusiano basi bado atahitaji akkli kyishi na mwanamke.

Kama mwanaume bado ni mtu asiyejali amani ya moyo na ambaye hajali migongano yani ni mwanaume asiyejali shari basi anahitaji moyo mgumu tu kuishi nae.

Ukiishi na mwanamke kiugumu ugumu unazingua kweli yani.

Ndio maana dini ikaruhusu uongo katika ndoa wenye lengo LA KUTENGENEZA NDOA IDUMU ZAIDI NA KUEPUSHA MIGONGANO.

Kuna siku nilipewa off kibaruani,basi niliporudi wife akaniuliza mbona mapema nikamuambia "nimeomba ruhusa kwa bosi kuwa mke wangu anaumwa lkaini najua huumwi ila tu nimekumiss kweli sijui kwa nini"

Kuna jambo alinuna lakini nipomuambia hivi akafurahi akaanza story zingine
Kwa hiyo unataka kusema kuwa uliacha kazi ukaondoka ili ukamfurahishe mwanamke nyumbani kisa kajinunisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa bana nimekuelewa
 
Badilika mkuu,
kua na mtazamo chanya juu ya wanawake.

Uyo mwanamke Unaweza wewe shindwa kuendana nae, akapata mwingine wakaendana Safi kabisa.

Tena mtu akakakushangaa ulikwama wapi mkuu[emoji2]

Lilotokea kwako kwa uyo mwanamke wako,

Haliwez kugeneralize kitakachotutokea wanaume wengine kwa uyo mwanamke wako.

Apo mjinga Ni wewe ulieshindwa kumtuliza kiumbe unayemmudu KWENYE himaya yako.
Kama Mimi nimewahi leta uzi humu wa kulialia kuhusu kutendwa na wanawake basi nitaacha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa taarifa yako Mimi wanawake kwangu wapo chini yangu hakunaga mjanja wa Alie fanikiwa kuniendesha . Sio kusema sijawahi toswa no nilitoswa na nikaumia na kupondeka vizuri tu ila kipondo kile kiliniimarisha na kunifanya niwe makini Sana na hizi safari za mapenzi .Kama ujuavyo tunaumia ili kujifunza sio kulegea .

Tafuta nyuzi zangu utaelewa nincho maanisha
 
Kwa hiyo unataka kusema kuwa uliacha kazi ukaondoka ili ukamfurahishe mwanamke nyumbani kisa kajinunisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa bana nimekuelewa
Sikupingi, ila
Inaonekana umetumia Nguvu kubwa Sana kuisoma comment ya jamaa,

mwisho wa siku hamna ulichoelewa.

JAMAA YUKO CLEAR KABISA,[emoji106]

Ukiachilia changomoto alizokua nazo, KATUMIA AKILI sana KUEPUSHA MIGOGORO NA KUJENGA furaha na UPENDO NA MWENZIE.

Na Apo anatufikishia ujumbe wa kua na kifua Cha kiume,
kuweza kuhimili Changamoto nzito na still ukabaki normal.

Pia kutokuleta stress zako za kazini KWENYE mambo ya kifamilia.

INSHORT, comment ya jamaa imekaa ki-Gentleman Sana.
 
Kama Mimi nimewahi leta uzi humu wa kulialia kuhusu kutendwa na wanawake basi nitaacha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa taarifa yako Mimi wanawake kwangu wapo chini yangu hakunaga mjanja wa Alie fanikiwa kuniendesha . Sio kusema sijawahi toswa no nilitoswa na nikaumia na kupondeka vizuri tu ila kipondo kile kiliniimarisha na kunifanya niwe makini Sana na hizi safari za mapenzi .Kama ujuavyo tunaumia ili kujifunza sio kulegea .

Tafuta nyuzi zangu utaelewa nincho maanisha
Sijapingana na wewe,
ila nmekusihi TU ubadilishe saikolojia yako khs Hawa viumbe.
 
Waheshimuni wanawake umekuja/umeletwa duniani kwa kupitia mwanamke iweje leo unawadharau, heshima na upendo unaomuonyesha mama yako mzazi itumike hata kwa wanawake wengine kumbuka amri kuu ya mungu ni upendo. 'Pendaneni' na tunda tunda la roho ni upendo kama hujaoa au haupo kwenye ndoa ngumu sana kumeza.

Binti mrembo au mwanamke yeyote unaemdharau leo ndio mama mzazi mpendwa wa kijana furani huko mbeleni kama vile wewe unavyompenda mama yako naamini ukimuuliza mwanaume yeyote anaekubaliana na mtoa post upendo wake mkuu upo kwa mama yake.

Ishi na mwanamke kwa akili anaelewa maana halisi ya msemo huu na aelewe.
 
Kwa hiyo unataka kusema kuwa uliacha kazi ukaondoka ili ukamfurahishe mwanamke nyumbani kisa kajinunisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sawa bana nimekuelewa
Umakini wako katika comment yangu umepotea.

Nimesema nilipewa off kibaruani.
 
Back
Top Bottom